Mataifa 6 waanzilishi wa Muungano wa Ulaya EU wanakutana leo kujadili mustakabali wao wa baadaye baada ya Uingereza kuamua kujiondoa kutoka kwa muungano huo.
Category: HABARI |
Views: 306 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-06-25
|
|
Seneta wa Marekani Bernie Sanders amesema kuwa atampigia kura mpinzani wake katika chama cha Democrats Hillary Clinton katika uchaguzi wa urais wa mwezi Novemba.
Wawili hao walipigania uteuzi wa chama cha Democrats ambao aliyekuwa waziri wa maswala ya kigeni nchini Marekani Hillary Clinton alishinda.
Category: HABARI |
Views: 307 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-06-25
|
|
Mgombea kiti cha urais nchini Marekani Donald Trump amepongeza hatua ya raia wa Uingereza kujiondoa katika muungano wa Ulaya akisema "wamekomboa nchi yao".
Amesema hayo alipowasili Trump Turnberry kwa ufunguzi wa mgahawa wa Ayrshire na ukumbi wa gofu,baada ya kufanyiwa ukarabati.
Category: HABARI |
Views: 296 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-06-25
|
|
Waziri mkuu wa Uingereza, David Cameron, ametangaza atajiuzulu, baada ya kushindwa kuwashawishi raia wengi wa Uingereza, kusalia katika muungano wa Ulaya.
Cameron akiwa amejawa na huzuni amesema kuwa atasalia ofisini kwa siku tisini zijayo ndipo angatuke.
Category: HABARI |
Views: 299 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-06-25
|
|
 Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad aliwasili mjini hapa jana baada ya kumaliza ziara ya kichama katika mataifa mbalimbali ya Magharibi.
Katika ziara ya takriban wiki mbili, Maalim Seif na ujumbe wake akiwamo Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa CUF, Ismail Jussa Ladhu, walitembelea Canada, Marekani na Umoja wa Mataifa, jijini New York.
Category: HABARI |
Views: 359 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-06-25
|
|
OR-TAMISEMI inawatangazia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2016.
Wanafunzi waliochaguliwa ni kutoka shule za Serikali na zisizo za Serikali. Jumla ya wanafunzi 65,720 wakiwemo wasichana 29,457 na wavulana 36,263 wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi.
Category: HABARI |
Views: 340 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-06-25
|
|
  Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Inapenda kutoa taarifa kwa Umma na wadau wake wote kuwa inatarajia kuanza kupokea maombi ya Mikopo kwa mwaka wa masomo 2016 /2017 kuanzia tarehe 27 Juni 2016 hadi tarehe 31 Julai 2016.
Category: HABARI |
Views: 330 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-06-25
|
|
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetoa tamko zito kikitaka Polisi kuzuia Mkutano Mkuu wa CCM utakaofanyika mwezi ujao, vinginevyo watatumia nguvu ya umma kuuzuia.
CCM kimeitisha mkutano mkuu maalumu unaotarajiwa kufanyika Julai 23 mjini Dodoma, kwa lengo la Mwenyekiti wa chama hicho, Jakaya Kikwete kumkabidhi uongozi wa chama, Rais John Magufuli.
Category: HABARI |
Views: 292 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-06-21
|
|
VIGOGO wakiwamo wabunge na wananchi wengine, walionunua nyumba za serikali na kutomaliza kulipa madeni yao kwa wakati kama mikataba yao inavyoelekeza, wameanza kuondolewa kwa nguvu kwenye nyumba hizo na nyumba kupigwa mnada ili kupata fedha za kulipa madeni ya Sh bilioni sita.
Madeni hayo serikali inadai kupitia Wakala wa Majengo Tanzania (TBA).
Category: HABARI |
Views: 305 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-06-21
|
|
Aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema ndani ya chama hicho tawala kuna majipu mengi yanayohitaji kutumbuliwa.
Kwa mujibu wa katibu huyo wa uenezi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi, hatua hiyo ndiyo njia pekee ya kuleta mapinduzi na mageuzi ndani ya chama hicho.
Category: HABARI |
Views: 296 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-06-21
|
|
|