| nurdidy | Date: jumamosi, 2016-06-18, 4:57 PM | Message # 1 |
 Lieutenant
Group: Administrators
Messages: 51
Awards: 0
Reputation: 0
Status: Offline
|  Baada ya kampuni ya simu ya Tecno kutoa simu yao ya Aina ya Tecno C8 na kufanya vizuri kwenye soko la simu,sasa kampuni hiyo imerudi tena na simu mpya aina ya Tecno C9.Katika toleo hili kampuni hiyo imeonyesha imepania katika kuonyesha upinzani mbele ya makampuni mengine hya simu kama vile samsung,Motorola na hata Apple.
Simu hii ina mabadiliko makubwa ingawa siyo mengi ukilinganisha na toleo lao la nyuma la Tecno C8.
Baadhi ya mambo muhimu kwenye simu hii ni kuwa ina RAM ya 2GB huku ikiwa na nafasi ya kuhifadhi files (INTERNAL STORAGE) ya 16GB.Kizuri zaidi ni kwamba simu hiyo ina kamera bora kabisa ya mbele na nyuma huku zote zikiwa na mega pixel 13 na flash pia.
Zifuatazo ni dondoo nyingine muhimu kuhusu simu hii
Technology- GSM: GSM 900 / 1800
- 3G: HSDPA 900 / 2100
- 4G: FDD-LTE 3(1800) / 7(2600) / 20(800)
- SIM Type: Dual Micro SIM
- OS: Android 6 Marshmallow + HiOS v1.0
Design - Dimensions: 153 x 76.4 x 10.35 mm
- Weight: g
- Display: 5.5 inches, 1920 x 1080 pixels IPS display
- Sensors: Iris Scanner. Accelerometer, Proximity
- Build: Aluminum Unibody
- Colours: Gold. Sandstone Black
Hardware- Processor Type: 64-bit Octa-Core 1.3 GHz
- Processor Name: Mediatek MT6753
- Graphics Processor: Mali-T720
- RAM: 2 GB
- Internal Storage: 16 GB
- External Storage: MicroSD card up to 128 GB
Camera- Rear: 13 megapixel autofocus camera with LED flash
- Video recording: Yes
- Front-facing: 13 megapixel camera with LED flash
Multimedia- Music Support: mp3, aac, aac+, eaac+, amr
- Loudspeaker: Mono
- Video Support: mpeg4, h.263, h.264
- FM Radio:
Connectivity- Bluetooth: v4.0
- WiFi: Wi-Fi 802.11 b/g/n, Wi-Fi Direct, hotspot
- GPS: Yes
- USB: microUSB v2.0
Miscellaneous- TECNO T-Band compatibility
- Charging:
- Battery: 3000 mAh
- Announcement: 14th June 2016
- Availability: 22nd June 2016
nurfire
|
| |
| |