Home » 2016 » June » 10

Mwanamke mmoja nchini Afrika kusini amelazimika kwenda mahakamani kuomba talaka kufuatia mumewe kuwa ana maumbile makubwa (uume).Hyo yametokea ikiwa ni siku tatu tu tangu wawili hao wafunge ndoa.Siku ya juma tatu mwanamke huyo aliimbia mahakama kuwa anataka atengane na mumewe huyo kwani hawezi kuendelea kuvumilia maumbile makubwa ya mwanaume huyo.Mwanaume hakuweza kukana mashtaka hayo lakini akaomba arudishiwe gharama zake.Chanzo .iol.co.za

Category: HABARI | Views: 278 | Added by: nurdidy | Date: 2016-06-10 | Comments (0)



Nyembo awali alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Chato kabla ya kuhamishiwa Uvinza mkoani Kigoma baadaye Kaliua.

Chato. Mkuu wa Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, Khadija Nyembo, aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Chato, Hamida Kwikwengwa na Mwanasheria wa halmashauri hiyo, Robert Matungwa wameibwaga Serikali baada ya kuwafungulia kesi ya uhujumu uchumi.
Category: HABARI | Views: 282 | Added by: nurdidy | Date: 2016-06-10 | Comments (0)



Viongozi wa Chadema, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Taifa, Freeman Mbowe na Katibu Mkuu, Dk Vincent Mashinji jana walijifungia kutwa nzima  Hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza kujadili hatua za kuchukua dhidi ya kitendo cha  Polisi kuzuia maandamano na mikutano ya chama hicho.
Category: HABARI | Views: 321 | Added by: nurdidy | Date: 2016-06-10 | Comments (0)