Home » HABARI
1 2 3 ... 32 33 »
nurfire

Windows 10 Manager is an all-in-one utility for Microsoft Windows 10 specially, it includes over forty different utilities to optimize, tweak, clean up, speed up and repair your Windows 10, helps make your system perform faster, eliminate system fault, increase stability and security, personalize your copy of Windows 10, it can meet all of your expectations.
Windows 10 Manager Features
Category: HABARI | Views: 441 | Added by: nurdidy | Date: 2016-12-28 | Comments (0)



 
 
​WABUNGE wote wa Chama cha Wananchi (CUF) wametangaza rasmi kutomtambua aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba.
 
Wamemtaka Msajili wa Vyama vya SiWabunge wote CUF wamkataa Lipumbaasa nchini, Jaji Francis Mutungi kutomkumbatia mwanasiasa huyo aliyebobea katika uchumi, ikielezwa kwa sasa hana sifa za kuwa mwenyekiti wa chama hicho, labda aanze upya mchakato.Wabunge wote CUF wamkataa Lipumba
Category: HABARI | Views: 842 | Added by: nurdidy | Date: 2016-09-16 | Comments (0)



WAZIRI wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Augustine Mahiga amesema Watanzania wengi wanashikiliwa katika magereza ya Afrika Kusini kwa makosa ya kujishughulisha na biashara ya dawa za kulevya.
Category: HABARI | Views: 844 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-26 | Comments (0)



WASANII mbalimbali wanaopenda amani wameungana kwa pamoja kupinga maandamano ya UKUTA yanayotarajiwa kufanyika Septemba Mosi, mwaka huu
Category: HABARI | Views: 802 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-26 | Comments (0)

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameliagiza Jeshi la Polisi kuwagonga na kuwapiga wahalifu wowote wakiwamo majambazi pindi wanapowakamata.

 

Category: HABARI | Views: 519 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-26 | Comments (0)



Mwanafunzi mmoja Simon Petrus nchini Namibia ambaye anasomea mambo ya electronics ameweza kugundua na kutengeneza simu ambayo haitumii sim card wala haihitaji muda wa maongezi. 
Category: HABARI | Views: 455 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-25 | Comments (0)



Polisi nchini Zimbabwe wamelazimika kutumia mabomu ya machozi na maji ya kuwasha ili kupambana na vijana ambao walikuwa katika maandamano ya kumpinga raisi Robert Mugabe wa nchi hiyo. 
  Maandamano hayo yaliratibiwa na vyama 18 vya upinzani nchini humo vinavyopinga utawala wa Raisi aliyepo madarakani mheshimiwa Robert Mugabe. 
Category: HABARI | Views: 569 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-25 | Comments (0)



Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) linakusudia kuanzisha miradi mikubwa ya ujenzi Dodoma ikiwa ni kuunga mkono agizo la Rais John Magufuli la kuhamishia makao makuu ya nchi mkoani humo.
Category: HABARI | Views: 438 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-25 | Comments (0)



Huku timu za uokoaji zikiendelea na kazi ya kuwatafuta majeruhi na manusura wa tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.2 kwa kipimo cha rishta lililotokea katikati mwa Italia, hadi sasa imethibitishwa kuwa watu wasiopungua 247 wamepoteza maisha katika janga hilo la kimaumbile.
Category: HABARI | Views: 464 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-25 | Comments (0)



Polisi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo jana Jumatano ilionya kuwa itakabiliana na wale wote wanaotaka kudhuru mali za umma na za serikali.
Category: HABARI | Views: 442 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-25 | Comments (0)