Home » USAJIRI
1 2 »


Klabu ya soka ya Liverpool ya nchini Uingereza iko mbioni kumsajili beki Ragnar Klavan kutoka klabu ya Augsburg ya nchini Ujerumani. 
​ Beki huyo wa kati ataigharimu Liverpool kutoa kiasi cha £4.3m ili kuweza kukamilisha uhamisho huo
Category: USAJIRI | Views: 399 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-18 | Comments (0)


Klabu ya soka ya Tottenham ya nchini Uingereza iko mbioni kukamilisha usajili wa mchezaji kutoka klabu ya Marseille ya Ufaransa Georges-Kevin N’Koudou ndani kipindi cha masaa 48 yajayo. 
​Mchezaji huyo kinda ambaye pia anaitumikia timu ya taifa ya vijana ya Ufaransa a a thamani ya kiasi cha £11m
 
Category: USAJIRI | Views: 358 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-18 | Comments (0)



Klabu ya soka ya Manchester united iko mbioni kutaka kumsajili kiungo wa klabu ya soka ya Liverpool Joe Allen ambaye ameonekana kutomvutia kocha wa klabu hiyo Jorgen Klopp. 
Category: USAJIRI | Views: 311 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-18 | Comments (0)



Kocha wa Manchester united Jose Mourinho anaonyesha amedhamiria kurudisha makali ya klabu hiyo kwa kuendelea kutafuta wachezaji watakaoweza kuitumikia klabu hiyo kwa mafanikio na kwasasa ametua kwa mchezaji raia wa Brazil. 
Category: USAJIRI | Views: 425 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-18 | Comments (0)




Klabu ya Manchester City iko mbioni kutaka kuhakikisha inakamilisha usajili wa klabu ya Everton Stones ili kuweza kuimarisha safu yake ya ulinzi. 
Category: USAJIRI | Views: 297 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-17 | Comments (0)



Huku taarifa za mchezaji Paulo Pogba zikiwa zinazidi kushika nafasi kwenye vyombo vingi vya habari duniani kuhusu kujiunga na klabj ya Manchester united, kuna taarifa mpya kuhusu mchezaji huyo
Category: USAJIRI | Views: 477 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-08 | Comments (0)




Manchester united imeambiwa isahau ndoto ya kumsajili mchezaji Hirving Lozino ambaye ameambiwa na klabu yake afute suala la kwenda Manchester united na hivyo anatakiwa ajikite kwenye klabu yake ya Pachuca. 
Category: USAJIRI | Views: 335 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-08 | Comments (0)



Klabj ya Leicester city ya nchini Uingereza ambao pia ni mabingwa wa ligi kuu Uingereza wametakiwa kutoa kiasi cha £20 milioni ili kuweza kumsajili mchezaji Luan kutoka nchini Brazil. 
Category: USAJIRI | Views: 359 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-08 | Comments (0)


Luol Deng amejiunga na timu ya mpira wa kikapu ya Marekani Los Angeles Lakers kwa thamani ya $72 milioni. Mchezaji huyo ambaye ni mzaliwa wa Sudani pia amewahi kuiwakilisha Uingereza katika michuano ya Olympics iliyofanyika jijini London mwaka 2012.
Category: USAJIRI | Views: 359 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-08 | Comments (0)



Huku ikiwa tayari imehusishwa sana na taarifa za kumsajili kiungo wa Juventus na timu ya taifa ya Ufaransa Paul Pogba klabu ya Manchester united ina taarifa mya kuhusu Blaise Matuid. 
 Kwa mujibu wa gazeti la Ufaransa la L'Equipe limeripoti asubuhi hii kuwa klabu ya Ufaransa ya PSG ambayo ndiyo anayoitumikia Blaise Matuid imeipa ruhusa klabu ya Manchester united kufanya mazungumzo binafsi na mchezaji huyo ili kufikia makubaliano yatakayowezesha kufanikisha usajili wa mchezaji huyo kwenda Manchester united. 
Category: USAJIRI | Views: 382 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-08 | Comments (0)

1-10 11-16