Home » 2016 » June » 21


Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetoa tamko zito kikitaka Polisi kuzuia Mkutano Mkuu wa CCM utakaofanyika mwezi ujao, vinginevyo watatumia nguvu ya umma kuuzuia.
CCM kimeitisha mkutano mkuu maalumu unaotarajiwa kufanyika Julai 23 mjini Dodoma, kwa lengo la Mwenyekiti wa chama hicho, Jakaya Kikwete kumkabidhi uongozi wa chama, Rais John Magufuli.
Category: HABARI | Views: 292 | Added by: nurdidy | Date: 2016-06-21 | Comments (0)



VIGOGO wakiwamo wabunge na wananchi wengine, walionunua nyumba za serikali na kutomaliza kulipa madeni yao kwa wakati kama mikataba yao inavyoelekeza, wameanza kuondolewa kwa nguvu kwenye nyumba hizo na nyumba kupigwa mnada ili kupata fedha za kulipa madeni ya Sh bilioni sita.
Madeni hayo serikali inadai kupitia Wakala wa Majengo Tanzania (TBA). 
Category: HABARI | Views: 304 | Added by: nurdidy | Date: 2016-06-21 | Comments (0)



Aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema ndani ya chama hicho tawala kuna majipu mengi yanayohitaji kutumbuliwa. 

Kwa mujibu wa katibu huyo wa uenezi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi, hatua hiyo ndiyo njia pekee ya kuleta mapinduzi na mageuzi ndani ya chama hicho. 
Category: HABARI | Views: 296 | Added by: nurdidy | Date: 2016-06-21 | Comments (0)

Category: MAGAZETI | Views: 389 | Added by: nurdidy | Date: 2016-06-21 | Comments (0)