Home » 2016 » June » 28

Katika mchezo huo timu ya taifa ya Uingereza ilikuwa ya kwanza kujipatia bao dakika ya 4 kwa njia ya mkwaju wa penati kupitia kwa mchezaji wao tegemeo Wyne Rooney mara baada ya Raheem Sterling kuangushwa kwenye eneo la penati.Lakini bao hilo halikudumu sana mara baada ya mchezaji wa Iceland Ragnar Sigurdsson kuisawazishia dakika ya 5 ya mchezo kipoindi cha kwanza.Hadi mapumziko Iceland walikuwa na mabao hayo ambayo yaliweza kudumu mpaka mwisho wa mchezo.Goli la pili la Iceland lilifungwa na mchezaji Kolbein Sigthorsson na kuwaondosha mashindanoni UIngereza
Category: MICHEZO | Views: 273 | Added by: nurdidy | Date: 2016-06-28 | Comments (0)


Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Uingereza Roy Hodgson amejiuzulu wadhifa wake huo baada ya timu ya taifa ya Uingereza kucharazwa mabao 2-1 dhini ya timu ndogo ya Iceland katika mchezo wa hatua ya 16 bora EURO 2016.
Category: MICHEZO | Views: 335 | Added by: nurdidy | Date: 2016-06-28 | Comments (0)