Home » 2016 » June » 29

Mchezaji Nickolas Nkoulou amekamilisha usajili wake kutoka klabu ya Marseille na kujiunga na Klabu ya Lyon ambayo pia ni ya nchini Ufaransa.Mchezaji huyo mwenye miaka 23 amekuwepo kwenye klabu ya Marseille tengu mwaka 2011 na huku akithibitisha kuwa beki bora kwa kuonyesha kiwango kizuri cha soka.
Category: MICHEZO | Views: 283 | Added by: nurdidy | Date: 2016-06-29 | Comments (0)


Korea Kusini, Marekani na Japan zimefanya zoezi la ushirikiano la kukabiliana na makombora katika maji ya jimbo la Hawaii.
Hatua hiyo inajiri kufuatia msururu wa majiribio ya makombora ya masafa mafupi katika miezi ya hivi karibuni inayofanywa na Korea kaskazini.
 
Category: HABARI | Views: 289 | Added by: nurdidy | Date: 2016-06-29 | Comments (0)



Uingereza imezuia kuhudhuria mkutano wa viongozi wa Jumuiya ya Ulaya ambapo itakuwa mara ya kwanza kufanyiwa hivyo kwa miaka 40.
Waziri Mkuu, David Cameron, hatakuwa mezani wakati viongozi wengine 27 wa mataifa wanachama wa Jumuiya ya Ulaya watakuwa wakihudhuria mkutano usio rasmi juu ya hatma ya muungano huo baada ya kuondoka kwa Uingereza.
Category: HABARI | Views: 315 | Added by: nurdidy | Date: 2016-06-29 | Comments (0)


Wabunge wa Ukawa wamemtaka Rais John Magufuli kutoa tamko juu ya uvunjifu wa haki za binadamu Zanzibar na kwamba wana mpango wa kumpeleka katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) wakidai yanayotokea visiwani humo yana baraka zake.
 
Category: HABARI | Views: 253 | Added by: nurdidy | Date: 2016-06-29 | Comments (0)