Home » 2016 » July » 01

Mchezaji wa mpira wa kikapu nchini Marekani Oj Mayo amefungiwa kushiriki mchezo huo kwa miaka miwili kwa kukiuka kanuni zinazohusu madawa yanayotumika michezoni. 
Category: MICHEZO | Views: 311 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-01 | Comments (0)


Leo ndiyo mwanzo wa utekelezaji wa Sheria Fedha (Finance Act, 2016) iliyopitishwa katika Bajeti ya 2016/17 ambapo Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) itatozwa katika huduma za mitandao ya simu, benki na taasisi za fedha.
Akisoma hotuba ya bajeti bungeni hivi karibuni, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango pamoja na mambo mengine, alipendekeza kuongeza kodi hiyo katika huduma za  kibenki zinazotozwa na benki hizo ili kupanua wigo wa kodi isipokuwa riba kwenye mikopo.
Category: HABARI | Views: 294 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-01 | Comments (0)


MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) hatimaye wametaja mfanyabiashara ambaye alibainishwa na Rais John Magufuli katika hafla ya kuwaapisha Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Ikulu Dar es Salaam juzi.
Category: HABARI | Views: 284 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-01 | Comments (0)



Klabu ya soka ya Machester city ya nchini Uingereza imekamilisha usajili wa mchezaji Nolito kutoka hispania kwenye klabu ya Celta Virgo. Ikumbukwe klabu hiyo tayari pia imeweza kumsajili Ilkay Gundogan kutoka klabu ya Borrusia Dortmund kwa ada ya £20m.
Category: MICHEZO | Views: 266 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-01 | Comments (0)



Baada tu ya juzi kutolewa taarifa kutoka TRA kuhusu ongezeko la kodi ya VAT kwa asilimia 18% mabenki nchini yalianza kutuma ujumbe wa simu kwa wateja wao kuwajulisha kuhusu ongezeko hilo huku yakionyesha mzigo huo kubebwa na wananchi. Leo mamlaka husika inayosimamia kodi hiyo yaani TRA imetoa ufafanuzi kuhusu hilo kama inavyoonyesha hapo juu. 
Category: HABARI | Views: 354 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-01 | Comments (0)



Picha zinazoonyesha jezi watakazotumia timu ya soka ya Manchester city kwenye msimu wa ligi kuu 2016/2017 zimevuja mtandaoni. 
Katika picha hizo anaonekana mchezaji Aguero akiwa amevalia jezi hizo mpya huku akiwa amezungukwa na mashabiki wa klabu hiyo. 
 Jezi hizo ni zile ambazo watazitumia kwa mechi za nyumbani. 
Category: MICHEZO | Views: 712 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-01 | Comments (0)



Klabu ya soka ya Barcelona imetangaza kuwa imekamilisha usajili wa kumwongeza mkataba nyota wake mbrazil  Neymar ambai ni wa miaka mitano na hivyo kumfanya adumu klabuni hapo hadi mwaka 2021.P
Category: MICHEZO | Views: 274 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-01 | Comments (0)


Mtoto wa kocha mkuu wa klabu ya Manchester united Jose Mourihno, Mourinho Jr amesaini miaka miwili ya kuitumikia klabu ya Fulham ya nchi Uingereza. Klabu ya kujiunga Fulham mchezaji huyo wa nafasi ya golikipa pia amewahi kuchezea timu za vijana za Chelsea na Real Madrid kipindi zikifundishwa na babaake. 
  
 
Category: MICHEZO | Views: 286 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-01 | Comments (0)