Home » 2016 July
|













Msimu uliopita mchezaji Mario Balotelli alikuwa akiichezea klabu ya Ac Milan kwa mkopo akiwa ametokea klabu ya liverpool ambako alishindwa kung'aa kwenye msimu wake wa kwanza.
Hal Robson Kane ambaye kwa sasa yuko huru alikua ni mchezaji wa klabu ya Reading ya Uingereza.