Home » 2016 » July » 04


Manchester united wanaonyesha wamepania kutengeneza kikosi bora kwa kuendelea kufanya usajili huku wachezaji wenye majina makubwa wakionekana kupewa nafasi kubwa klabuni hapo. 
Category: MICHEZO | Views: 334 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-04 | Comments (0)



Mchezaji wa klabu ya Manchester united Chriss Smalling ambaye pia ni mchezaji wa timu ya taifa ya Uingereza amelazwa hospitali kufuatia kula chakula chenye sumu. Mchezaji huyo inasadikika amekula chakula hicho chenye sumu akiwa katika mapumziko na mpenzi wake mara baada ya timu ya taifa ya Uingereza kuondolewa kwenye michuano ya Ulaya. 
Category: MICHEZO | Views: 353 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-04 | Comments (0)


Klabu ya Manchester united itamlipa mara tatu ya mshahara mchezaji inayetegemea kumsajili kutoka Borussia Dortmund Henrik Mkhitarya.. 
Category: MICHEZO | Views: 306 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-04 | Comments (0)