Home » 2016 » July » 05


Kwa kawida watu wanapokuwa wadogo huwa kuna kuwa na mambo ambayo huwa yanawapen deza zaidi kuyafanya kuliko mambo mengine hasa ikizingatiwa kuwa wengi huwa hawauji ukubwani mwao watafanya nini.
Category: MICHEZO | Views: 349 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-05 | Comments (0)



Hillary Clintoni ambaye pia ni mgombea uraisi kupitia chama cha Democratic nchini Marekani ametangazwa kuwa hana hatia na shirika la ujasusi la nchini humo FBI kufuatia tuhuma zilizokuwa zimemkabili za kutumia akaunti yake binafsi ya Email kufanya mawasiliano yanayohusu shughuli za serikali za nchi hiyo,
Category: HABARI | Views: 279 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-05 | Comments (0)



Mshambuliaji wa klabu ya soka ya Everton na timu ya taifa ya Ubelgiji amebadilia maamuzi yake ya kutaka kuachana na klabu hiyo na kuamua kuendelea kuitumikia klabu hiyo.Kulikuwa na taarifa nyingi kumhusisha mchezaji huyo na uwezekano wa kuhama klabu hiyo huku awali ikidaiwa klabiu ya Arsenal ilikuwa tayari imefikia makubaliano na mchezaji huyo kujiunga na klabu hiyo.
Category: MICHEZO | Views: 266 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-05 | Comments (0)


Raisi na aliyekuwa mmiliki wa klabu ya soka ya ncini Italia klabu ya AC Milan Silvio Berlusconi ameweka wazi kuwa ameshaiuza klabu hiyo na anaamini ameiuza klabu hiyo kwa watu wenye nguvu na hivyo itarejea kwenye makali yake.
Category: HABARI | Views: 332 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-05 | Comments (0)


Klabu ya soka ya Valencia ya nchini Hispania imekamilisha usajili wa mchezaji Luis Nani kutoka Ureno.Taarifa hizo ni kwa mujibu wa akaunti ya twitter ya klabu hiyo ya Valencia
Category: USAJIRI | Views: 311 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-05 | Comments (0)


Raisi wa Marekani Barack Obama ameonyesha kuwa yeye si tu kiongozi wa taifa hilo kubwa na lenye nguvu dunia ila pia ni kiongozi mzuri katika familia yake mara baada ya kumwimbia wimbo wa Happy Barthday mwanaye aitwae Malia huku akishirikiana na wana muziki maarufu Kendrick Lamar na Janelle Monae.
Category: BURUDANI | Views: 298 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-05 | Comments (0)


Mshambuliaji mpya wa klabu ya soka ya Uingereza ya Arsenal Takuma asano metua klabuni hapo na kukamilisha taratibu zake za uhamisho.Huyo ni mchezaji wa pili kuasjiliwa msimu huu baada ya mchezaji mwingine Xhaka kujiunga na klabu hiyo.Hiyo inafuatia klabu hiyo ya Arsenal kufeli jaribio lake la kutaka kumsajili mchezaji Jamie Vardy kutoka klabu ya Leicester City.
Category: MICHEZO | Views: 290 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-05 | Comments (0)


Familia ya Nelsoni Mandela nchini Afrika kusini imechukizwa na kitendo cha chama cha upinzani nchini humo kurumia sauti ya baba yao katika shughuli za uchaguzi nchini humo.Sauti ya shujaa huyo imesikika ikihimiza utawala wa haki na sheria na huku ikisema watu wakipigie kura chama cha Democratic Alliance.
Category: HABARI | Views: 294 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-05 | Comments (0)

Video inayoonyesha namna Mourinho alivowasili Manchester united na maswali tisa aliyoulizwa na kujyajibu ndani ya dakika 28

Category: MICHEZO | Views: 304 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-05 | Comments (0)



Abiria mmoja raia wa Urusi amesababisha abiria zaidi ya 500 kuchelewa kuruka na ndege kwa masaa 7 akilazimisha apewe talaka ndiyo aweze kuondoka kwenye ndege hiyo.
Category: HABARI | Views: 303 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-05 | Comments (0)



Wajumbe wengi wa baraza la seneti walikuwa wakitumia simu aina ya blackberry kwaajili ya mawasiliano na hasa kupokea na kutua emails.Blackberry ndiyo zilionekana kuwa simu rahisi zaidi kufanya mawasiliano hayo kutokana na na mpangilio wa batani zake za kutumia meseji.
Category: HABARI | Views: 281 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-05 | Comments (0)


Mabingwa wa ligi nchini Uingereza Leicester wameingia katika mkataba na klabu ya CSKA Moscow kumsajili mshambuliaji wa Nigeria Ahmed Musa,kulingana na ajenti wa mchezaji huyo.
Category: HABARI | Views: 301 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-05 | Comments (0)