Home » 2016 » July » 06
Category: MICHEZO | Views: 419 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-06 | Comments (0)


Mchezaji nyota wa klabu ya soka ya Barcelona na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi na baba yake wamehukumiwa kwenda jela miezi 21 kutumikia kifungo ambacho ni adhabu ya kupatikana na hatia ya kukwepa kodi.
Shauri hilo lilikuwa mahakamani lakini lilichelewa kuendelea kusikilizwa kufuatia mchezaji huyo kuwa kwenye michuano ya Kopa america akiiwakilisha nchi yake ya Argentina.
Category: MICHEZO | Views: 340 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-06 | Comments (0)



SERIKALI kupitia Wizara ya Nishati na Madini inatarajia kuboresha uzalishaji wa umeme nchini na hivyo kuondoa kabisa mgawo wa umeme nchini.
Category: HABARI | Views: 319 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-06 | Comments (0)



​MAZIKO ya Mbunge wa zamani wa Jimbo la Kilindi, mkoani Tanga, Beatrice Shelukindo (CCM), yanatarajiwa kufanyika leo nyumbani kwa wazazi wake, Kata ya Olorieni jijini hapa.
Kaka wa marehemu, Enock Madinila alisema maziko hayo yalikuwa yafanyike kesho katika kata hiyo, lakini yamerudishwa nyuma kwa siku moja kutokana na sababu zilizoelezwa na familia kuwa wamezingatia mambo kadhaa.
Category: HABARI | Views: 354 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-06 | Comments (0)



 Dereva tax mmoja nchini Marekani katika mji wa Boston ajulikanaye kwa jina la Raymond MacCausland mwenye umri wa miaka 72 amekutana na bahati ambayo wengi wangeifurahia baada ya kukuta kiasi cha fedha zenye thamani ya dola 187,000 nyuma ya siti ya gari yake.
Category: HABARI | Views: 335 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-06 | Comments (0)


Mshambuliaji wa zamani wa klabu za soka za Arsenal na Manchester united zote za uingereza Robin Van Prsie ambaye kwasasa ni mshambuliaji wa klabu ya Fernabache ya nchini uturuki amekuwa akihusishwa na kurejea katika ligi kuu ya Uingereza. 
Category: MICHEZO | Views: 365 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-06 | Comments (0)