Home » 2016 » July » 10


Sakata la wanandugu wawili wanao unda kundi la P Square kutoka nchini Nigeria kuto kuelewa limeendelea kukua baada ya mmoja wa wanamuziki hao kumshutumu mwenzie kwa kuandaa tamasha na kutumia jina lake na video inayoonyesha ushiriki wake kwenye tamasha nchini Congo kitu ambacho sio kweli.
Category: BURUDANI | Views: 311 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-10 | Comments (0)



Baada ya uvumi na taarifa kuenea kuwa wizara ya afya ina mpango wa kupunguza mishahara ya madaktari hatimaye waziri wa fedha Ummy Mwalimu wametoa ufafanuzi kupitia akaunti zao za twitter na haya ndiyo maneno yao. 
Category: HABARI | Views: 382 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-10 | Comments (0)



Baada ya taarifa za kushtua kuhusu umri wa mchezaji Renato Sanchez hatimaye utata huo umefika mwisho. Hayo yanafuatia kutolewa kwa cheti cha kuzaliwa chamchezaji huyo hjku kikionyesha kuwa amezaliwa mwaka 1997 tar 28 mwezi august  a  beti hicho cha kuzaliwa 
Category: MICHEZO | Views: 348 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-10 | Comments (0)