Tsvangiraii ambaye alikuwa mkuu wa chama cha upinzani cha Movemenf for Democratic Change (MDC) wakati wa utawala wa serikali ya mseto kuanzia mwaka 2013 hadi 2009, hajahusika katika kuandaa migomo na maandamano ya hivi karibuni nchini Zimbabwe. Pamoja na hayo yote, weledi wa mambo waanamini kuwa, Tsvangirai anatumai kwamba atanufaika na harakati za mwamko za wananchi wa Zimbabwe na maandamano na migomo inayofanyika dhidi ya serikali ya Rais Robert Mugabe.
Category: HABARI |
Views: 315 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-07-18
|
|
Mfalme huyo amewatumia ujumbe viongozi wa Kiafrika wanaoshiriki mkutano wa Umoja wa Afrika ulioanza rasmi jana huko Kigali, mji mkuu wa Rwanda na kusema wakati umefika kwa nchi hiyo ya Kiarabu
Category: HABARI |
Views: 385 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-07-18
|
|
Mshauri mkuu wa rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amekanusha taarifa kuwa utawala huo umeanza njama za kumtafuta kwa ubaya kiongozi wa upinzani Moise Katumbi Chapwe ambae ni mfanya biashara wa kimataifa aliyenuia kugombea urais kwenye uchaguzi ambao bado haujaamuliwa kama utafanyika.
Category: HABARI |
Views: 319 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-07-18
|
|
Klabu ya soka ya Liverpool ya nchini Uingereza iko mbioni kumsajili beki Ragnar Klavan kutoka klabu ya Augsburg ya nchini Ujerumani.
Beki huyo wa kati ataigharimu Liverpool kutoa kiasi cha £4.3m ili kuweza kukamilisha uhamisho huo
Category: USAJIRI |
Views: 399 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-07-18
|
|

Klabu ya soka ya Tottenham ya nchini Uingereza iko mbioni kukamilisha usajili wa mchezaji kutoka klabu ya Marseille ya Ufaransa Georges-Kevin N’Koudou ndani kipindi cha masaa 48 yajayo.
Mchezaji huyo kinda ambaye pia anaitumikia timu ya taifa ya vijana ya Ufaransa a a thamani ya kiasi cha £11m
Category: USAJIRI |
Views: 358 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-07-18
|
|
Klabu ya soka ya Manchester united iko mbioni kutaka kumsajili kiungo wa klabu ya soka ya Liverpool Joe Allen ambaye ameonekana kutomvutia kocha wa klabu hiyo Jorgen Klopp.
Category: USAJIRI |
Views: 311 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-07-18
|
|
Kocha wa Manchester united Jose Mourinho anaonyesha amedhamiria kurudisha makali ya klabu hiyo kwa kuendelea kutafuta wachezaji watakaoweza kuitumikia klabu hiyo kwa mafanikio na kwasasa ametua kwa mchezaji raia wa Brazil.
Category: USAJIRI |
Views: 425 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-07-18
|
|
Aliyewahi kuwa mshambuliaji wa klabu ya soka ya Chelsea ya nchini Uingereza Demba ba amepatwa na tukio kubwa la kuhuzunisha ambalo ni taarifa mbaya kwa wapenzi wote wa mpira wa miguu.
Mpachika mabao mahiri huyo amepata ajali ya kuvunjika mguu wake wa kushoto akiwa katika mechi ya kuitumikia klabu yake ya Shanghai Shenhua dhidi ya Shanghai SIPG.
Category: MICHEZO |
Views: 414 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-07-18
|
|
Mchezaji nyota wa Cameroon Samuel Eto'o ametangaza kwamba mechi iliokusudiwa kufanyika wikendi nchini Uturuki kwa ajili ya kukusanya fedha za wakfu wake imehahirishwa baada ya jaribio la mapinduzi ya serikali nchini humo ambalo halikufanikiwa.
Category: MICHEZO |
Views: 314 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-07-18
|
|
Kocha mkuu wa klabu ya Manchester united Jose Mourinho amemwambia mchezaji beki wa timu hiyo Marcos Rojo kuwa hatakiwi klabuni hapo tena.
Category: MICHEZO |
Views: 360 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-07-18
|
|
Category: HABARI |
Views: 557 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-07-18
|
|
Hivi Karibuni, utakuwa huhitajiki kusafiri katika nchi za kiafrika kwa hati nyingine kwa kuwa wewe ni mwafrika !
sababu kubwa hasa Bara la Afrika limezindua rasmi cheti chake cha kusafiria!
Category: HABARI |
Views: 331 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-07-18
|
|
Ligi kuu ya Hispania inatarajiwa kuanza Agosti 21 kwa Mabingwa Watetezi FC Barcelona kucheza na Real Betis na Mabingwa wa Ulaya Real Madrid kuanza na Real Sociedad, Vigogo hao Wiki ijayo wanatarajiwa kurejea Mazoezini kujitayarisha na Msimu mpya.
Category: HABARI |
Views: 306 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-07-18
|
|
Mkutano wa 27 wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika (AU) unafunguliwa mjini Kigali, ambako mapigano ya hivi karibuni Sudan Kusini na mrithi Rais wa Tume ya AU vitatawala mkutano huu.© AFP/CYRIL NDEGEYAMjini Kigali nchini Rwanda, sherehe ya ufunguzi wa mkutano wa Umoja wa Afrika (AU) imefanyika Jumapili hii Julai 17. Wakuu wa nchi za Afrika wamekutana awali katika faragha kujadili mgogoro wa Sudan Kusini, lakini pia mrithi wa Nkosazana Dlamini-Zuma katika nafasi ya Mwenyekiti wa Tume ya AU na uwezekano wa Morocco kurejea kuwa mwanachama wa Umoja huo.
Category: HABARI |
Views: 279 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-07-18
|
|
Maafisa watatu wa polisi waliuawa na wengine kujeruhiwa siku ya Jumapili baada ya mtu aliyekuwa na bunduki kuwashambulia katika mji wa Baton Rouge, Luisiana, nchini Marekani.
Category: HABARI |
Views: 359 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-07-18
|
|
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amepiga marufuku matumizi ya viberiti, mishumaa na hita za kuchemshia maji kwa wanafunzi wa bweni ili kuepusha majanga ya moto na atakayekutwa, atachukuliwa hatua kali.
Category: HABARI |
Views: 296 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-07-18
|
|
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Tarime mkoani Mara kimewaonya vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wanaodai kuwa watakwenda Dodoma kufanya vurugu katika Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM mwishoni mwa wiki hii, wasithubutu kufanya hivyo.
Category: HABARI |
Views: 268 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-07-18
|
|
SHIRIKA lisilokuwa la kiserikali la JhPiego limekabidhi jengo jipya la wadi ya wazazi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kagera lenye thamani ya Sh mil 136.5, linalotegemewa kusaidia kupunguza msongamano katika wadi ya wazazi, pamoja na vifo vya wajawazito na watoto wachanga.
Category: HABARI |
Views: 353 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-07-18
|
|
MKUU wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali, Ernest Mangu amefunguka kuhusu mambo juu ya utendaji wa jeshi hilo na kueleza kuwa wakati wowote litamburuza mahakamani Katibu Mkuu wa Taifa wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad kwa kuhamasisha uchochezi visiwani Zanzibar.
Category: HABARI |
Views: 329 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-07-18
|
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Profesa Longinus Rutasitara kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA).
Category: HABARI |
Views: 323 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-07-18
|
|
|