Home » 2016 » August » 03


Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limemnyima kibali cha kutengeneza video vya wimbo mpya mwanamuziki, Snura Mushi kwa madai kuwa hajatimiza masharti aliyopewa baada ya kufungiwa miezi mitatu iliyopita

 
Category: HABARI | Views: 270 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-03 | Comments (0)



Ndege ya Shirika la  Emirati iliyokuwa ikijiandaa kutua katika Uwanja wa Kimataifa wa Dubai imewaka moto  na kusababisha taharuki kubwa kwa abiria waliokuwamo kwenye ndege hiyo.
Category: HABARI | Views: 274 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-03 | Comments (0)




Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir, amewafuta kazi Mawaziri wanne waliokuwa wanaendelea kumtii aliyekuwa Makamu wa kwanza wa rais Riek Machar.

Kiir ametangaza kuwa nafasi ya Mawaziri hao itachukuliwa na wale wanaomtii Makamu mpya wa rais Taban Deng Gai.
Category: HABARI | Views: 279 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-03 | Comments (0)