Home » 2016 » August » 05



Kocha mkuu wa klabu ya Manchester united Kose Mourinho amethibitisha kutomhitaji kiungo wa Ujerumani Bastian Shweinsteiger klabuni hapo na kuwa atafute klabu ya kwenda. 
Category: MICHEZO | Views: 290 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-05 | Comments (0)



Rais wa Zambia, Edgar Lungu amesema yuko tayari kutumia mbinu zozote kuhakikisha kwamba nchi hiyo ina amani baada ya uchaguzi uliopngwa kufanyika wiki ijayo wa rais, bunge , na serikali za mitaa pamoja na kura ya maoni. Lungu amesema kuwa ana ripoti za kijasusi kuwa wanachama wa chama kikuu cha upinzani , UPND, wanapanga kuzua vurugu iwapo chama chao hakitashinda katika uchaguzi huo.
Category: HABARI | Views: 281 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-05 | Comments (0)




​Polisi wa London wanasema mapema Alhamisi hawajapata ushahidi wowote wa kuashiria msimamo mkali unaoashiria ugaidi kwa kijana wa Kisomali.
Category: HABARI | Views: 271 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-05 | Comments (0)



UFARANSA imesema itaongeza mchango wake katika kuendeleza sekta mbalimbali nchini kutoka wastani wa Euro milioni 50 kila mwaka, ambazo huzitoa kupitia shirika lake la maendeleo la AFD.
Category: HABARI | Views: 283 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-05 | Comments (0)



Kundi la kigaidi la Nigeria la Boko Haram lenye mafungamano na kundi la wanamgambo wa kundi la kigaidi la  wa Dola la Kiislamu au Daesh lina kiongozi mpya ambaye ametishia kuyashambulia kwa mabomu makanisa na kuwaua wakristo.
Category: HABARI | Views: 293 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-05 | Comments (0)



Shirika la habari la ABNA linaripoti kuwa: Chama  cha  upinzani  nchini  Afrika  kusini  cha Democratic Alliance  kinaongoza  katika  miji  mitatu mikubwa  wakati  kura  zikiendelea  kuhesabiwa  katika uchaguzi  wa  serikali  za  mitaa na  kutoa  pigo  kubwa kwa  chama  tawala  cha  African National Congress ANC tangu  kumalizika  utawala  wa  kibaguzi  miongo  miwili iliyopita.
Category: HABARI | Views: 267 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-05 | Comments (0)



WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini, wamewaomba maaskofu na mashehe kusaidia kumshauri Rais John Magufuli akubali kuruhusu vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara.
Category: HABARI | Views: 268 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-05 | Comments (0)




​WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema itafuatilia malalamiko kuhusu kitendo cha kufungwa wakati wa usiku kwa baadhi ya vituo vikubwa vya Polisi jijini Dar es Salaam, hatua inayosababisha usumbufu mkubwa kwa wananchi.
Category: HABARI | Views: 248 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-05 | Comments (0)



MAMLAKA ya Viwanja vya Ndege nchini (TAA) imeainisha mikakati yake ya kufanya maboresho katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kwa kuboresha jengo la abiria (terminal II), ambayo yataenda sambamba na ujenzi wa terminal III.
Category: HABARI | Views: 341 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-05 | Comments (0)