Home » 2016 » August » 06

Watu wanne wameuawa na wengine saba kujeruhiwa katika hujuma inayoaminika kuwa ya ulipizaji kisasi katika Peninsula ya Sinai nchini Misri.
Vyombo vya habari nchini humo vimeripoti kuwa, shambulizi hilo la kigaidi limefanyika usiku wa kuamkia leo katika mji wa el-Arish, makao makuu ya mkoa wa Sinai Kaskazini.
 
Category: HABARI | Views: 345 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-06 | Comments (0)



Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ameshtakiwa kwa makosa matatu la kwanza kutoaa maneno ya uchochezi kwamba Agosti 2 katika Mahakama ya Kisutu kwa nia ya kujenga chuki kwa wananchi dhidi ya Rais na Serikali alitoa maneno ya uchochezi.
Category: HABARI | Views: 267 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-06 | Comments (0)


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewapa rungu askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) mkoani hapa kuwadhibiti watakaothubutu kufanya maandamano ya kuunga mkono operesheni ya Chadema iliyopewa jina la Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania (Ukuta).
Category: HABARI | Views: 375 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-06 | Comments (0)


Klabu ya Manchester City ya nchini Uingereza imetangaza kumsaijili mchezaji kutoka nchini Colombia Marlos Moreno kwa mkataba wa miaka mitano
Category: MICHEZO | Views: 250 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-06 | Comments (0)