Home » 2016 August
|

Baada ya mtandao wa shirikisho la soka barani ulaya kuonyesha kikosi cha klabu ya Manchester city na ndani yake kumjumuisha beki wa klabu ya Everton Jon Stones, UEFA wamelizungumzia hili kwa kujibu kuwa jana usiku ndiyo ilikuwa siku ya mwisho kwa vilabu kuwasilisha majina ya vikosi vyao na hivyo hicho ndiyo kikosi walichokipokea toka klabu ya Manchester city.

Rais wa zamani wa Nigeria, Goodluck Jonathan amesema kuwa kuna matumaini ya kufanyika uchaguzi wa rais nchini Zambia katika anga ya amani na amezitaka pande husika kuzingatia suala hilo.
Makumi ya maafisa usalama wa Marekani kutoka chama cha Republican wamemkosoa vikali mgombea urais wa chama hicho katika uchaguzi ujao, Donald Trump, wakisema hafai kuwa Rais wa Marekani.
Mashirika mbalimbali ya Umoja wa Mataifa yametahadharisha kuwa, mamilioni ya watu katika maeneo yenye vita na migogoro duniani wanasumbuliwa na njaa na ukosefu wa chakula kutokana na kutumiwa njaa kama silaha kwenye maeneo hayo.

Image copyright Nurfire

