Home » 2016 » August » 11


Imeelezwa kuwa, idadi ya watu wasio na ajira nchini Saudi Arabia inazidi kuongezeka kila siku.

Ripoti zinaeleza kuwa, endapo mwenendo huo wa idadi ya watu wasio na ajira utaendelea, basi hadi kufikia mwaka 2030 Saudia itakuwa na watu milioni nne wasio na kazi.

Category: HABARI | Views: 296 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-11 | Comments (0)