Home » 2016 » August » 15


Klabu ya soka ya Arsenal ya nchini Uingereza imeanza vibaya msimu mpya wa ligi kuu kwa kupata kipigo cha mabao 4-3 mbele ya majogoo wa jiji la Liverpool katika mchezo ambao Arsenal walikuwa nyumbani. 
Category: MICHEZO | Views: 333 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-15 | Comments (0)



Walioshuhudia wanasema wamesikia milio ya risasi katika mji muhimu wa Yei, kusini magharibi mwa Juba, kwenye barabara inayounganisha Juba na taifa jirani la Uganda.
Category: HABARI | Views: 314 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-15 | Comments (0)




Shughuli ya kuhesabu kura katika uchaguzi ulio na ushindani mkali inaendelea nchini Zambia huku kukiwa na wasiwasi kuhusu kucheleweshwa kwa matokeo hayo.
Category: HABARI | Views: 296 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-15 | Comments (0)



Mu Ethiopia, Almaz Ayana amefanikiwa kuweka rekodi ya dunia kwa upande wa wanawake katika mbio za mita elfu 10, baada ya kumaliza katika muda wa dakika 29 na sekunde 17, akivunja rekodi ya dunia ya awali iliyokuwa ya muda wa dakika 29 na sekunde 31.
Category: MICHEZO | Views: 317 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-15 | Comments (0)



Jemima Jelagat Sumgong, raia wa Kenya, mwenye umri wa miaka 31, ameipatishia nchi yake ushindi wa kwanza katika mashindano ya wanawake ya marathon, ambaye amekimbia muda wa saa 2:24 na sekunde 04, Jumapili hii Agosti 14 katika mji wa Rio de Janeiro, nchini Brazil.
Category: HABARI | Views: 307 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-15 | Comments (0)



B aada ya mauaji yaliyotokea Jumamosi Agosti 13, 2016, serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kupitia msemaji wake akiwa pia Waziri wa habari, Lambert Mende imetangaza maombolezo ya kitaifa ya siku tatu kuanzia Jumatatu hii, baada ya mauaji ya zaidi ya watu 30 wilayani Beni, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Category: HABARI | Views: 387 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-15 | Comments (0)



Shirika lisilo la kiserikali la Madaktari wasio na mipaka (MSF) limebaini Jumapili hii, Agosti 14, 2016 kwamba watoto wasiopungua kumi wa shule moja kijijini Haydan, nchini Yemen waliuawa Jumamosi hii katika mashambulizi ya anga ya muungano wa Kiarabu unaoongozwa na Saudi Arabia.
Category: HABARI | Views: 272 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-15 | Comments (0)


Waasi wa ADF-Nalu wa Uganda wamefanya mashambulio katika mji wa Beni ulioko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kuua makumi ya watu.
Category: HABARI | Views: 419 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-15 | Comments (0)



Wanamgambo wa kitakfiri wa kundi la Boko Haram wametoa mkanda mpya wa video unawaonyesha baadhi ya wasichana waliotekwa nyara na kundi hilo katika mji wa Chibok Nigeria mwaka 2
Category: HABARI | Views: 265 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-15 | Comments (0)