Home » 2016 » August » 23



Chama tawala nchini Afrika kusini ANC kimepoteza udhibiti katika jiji la Johannesburg ambapo meya mpya wa jiji hilo Herman Mashamba anatoka chama cha upinzani cha Democratic Alliance.
Category: HABARI | Views: 331 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-23 | Comments (0)




Wapenzi 2 wa jinsia moja nchini Afrika Kusini wanaaminika kuwa wa kwanza duniani kujifungua watoto watatu kutoka kwa vinasaba vya DNA vya wanaume hao wawili ,kulingana na jarida la Gay Times.
Category: HABARI | Views: 384 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-23 | Comments (0)



Ubalozi wa Marekani kwa Tanzania umewatahadharisha raia wa Marekani waishio nchini kuhusiana na Operesheni UKUTA iliyopangwa kufanyika septemba.
Category: HABARI | Views: 404 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-23 | Comments (0)



Muungano wa vyama vya upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC, umeitisha mgomo wa nchi nzima, kupinga hatua ya mpatanishi wa mzozo wa kisiasa nchini humo Edem Kodjo kuitisha kamati ya maandalizi ya mazungumzo hayo kuanza vikao, kinyume na makubaliano yao ya awali.
Category: HABARI | Views: 293 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-23 | Comments (0)




Polisi nchini Madagascar wanachunguza mauaji ya watu wawili raia wa Ufaransa, waliokuwa wakifanya kazi za kujitolea nchini humo, ambapo watu wawili tayari wamekamatwa kuhusiana na
Category: HABARI | Views: 305 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-23 | Comments (0)




Wabunge wa Libya wamepiga kura ya kutokuwa na imani na serikali ya umoja wa kitaifa inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa.
Katika kikao cha Bunge la Libya hapo jana Jumatatu, Wabunge 101 walihudhuria; idadi ambayo inakamilisha akidi katika kupiga kura. 
Category: HABARI | Views: 320 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-23 | Comments (0)


 
 
Wajumbe wa chama tawala 'CNDD-FDD' nchini Burundi wamemchagua kwa wingi wa kura Meja Jenerali Evariste Ndayishimiye kuwa mkuu mpya wa chama hicho.
Category: HABARI | Views: 300 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-23 | Comments (0)




Mamia ya wafuasi wa chama cha upinzani nchini Zambia cha 'United Party for National Development' wameandamana katika barabara za mji wa Namwala, kusini mwa nchi hiyo.
Category: HABARI | Views: 297 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-23 | Comments (0)



Taarifa ya jeshi la Nigeria imetolewa sambamba na kuwasili nchini humo Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani John Kerry ambaye atakutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa serikali ya Abuja yanayotazamiwa kukita zaidi kwenye suala la mapambano dhidi ya kundi la Boko Haram.
Category: HABARI | Views: 351 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-23 | Comments (0)



Msafara wa aliyekuwa mgombea wa Urais kupitia Chadema, Edward Lowassa umekwama kwenda Mikoa ya Rukwa na Katavi  baada ya polisi kuuzuia kwa hofu kwamba unaweza kuingilia ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anayetembelea mikoa hiyo.
Category: HABARI | Views: 333 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-23 | Comments (0)