Home » 2016 June 25 » Bernie Sanders kumpigia kura Clinton
10:17 AM Bernie Sanders kumpigia kura Clinton |
Follow @NNurfire ![]() Seneta wa Marekani Bernie Sanders amesema kuwa atampigia kura mpinzani wake katika chama cha Democrats Hillary Clinton katika uchaguzi wa urais wa mwezi Novemba. Wawili hao walipigania uteuzi wa chama cha Democrats ambao aliyekuwa waziri wa maswala ya kigeni nchini Marekani Hillary Clinton alishinda. Kufikia sasa Seneta huyo wa Vermont ameapa kuendelea na kampeni yake katika katika mkutano mkuu wa chama hicho na amekataa kusitisha kampeni yake. Bi Clinton atakabiliana na mgombea wa chama cha Republican Donald Trump katika uchaguzi huo. |
|
|
| Total comments: 0 | |
