Home » USAJIRI
« 1 2


Wakala wa mchezaji wa timu ya soka ya Juventus na timu ya taifa ya Italia Leonardo Bonucci ametua nchini Uingereza. Taarifa zinasema kuwa wakala huyo ametua nchini humu ili kufanya mazungumzo na klabu ya Manchester city ambayo ipo kwenye harakati za kuhakikisha inamnasa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29.
Category: USAJIRI | Views: 322 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-08 | Comments (0)


Klabu ya soka ya Valencia ya nchini Hispania imekamilisha usajili wa mchezaji Luis Nani kutoka Ureno.Taarifa hizo ni kwa mujibu wa akaunti ya twitter ya klabu hiyo ya Valencia
Category: USAJIRI | Views: 311 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-05 | Comments (0)


Kocha mpya wa klabu ya Manchester city pep Guardiola alivyowasili kwenye klabu yake hiyo mpya leo.
Category: USAJIRI | Views: 350 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-03 | Comments (0)



Klabu ya soka ya Chelsea ya nchini Uingereza imekamilisha usajili wa mchezaji Mitchy Batchuayi ambaye ni raia wa Ubelgiji.Chelse imekamilisha usajili wa mchezaji huyo kwa kutoa kiasi cha Euro 33 milioni kutoka klabu ya Marseil ya nchini Ufaransa.Kwa uhamisho huo,Chelsea mchezaji huyo ameungana na wabelgiji wenzake Eden Hazard na kipa wa klabu hiyo Thibaut Courtois.

 
Category: USAJIRI | Views: 279 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-03 | Comments (0)


Klabu ya nchini ya Ufaransa imeendelea kuboresha kikosi chake kwa msimu uja kwa kufanya usajili wa wachezaji mfululizo.Kwa mara nyingine leo wamekamilisha usajili wa mchezaji Thomas Meunier kutoka club brugge
Category: USAJIRI | Views: 300 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-03 | Comments (0)


Katika jitihada za kukihami kikosi chao kabla ya kutetea taji lao, Mabingwa wa ligi kuu ya Uingereza Leicester City wamemsajili kiungo cha kati wa Ufaransa Nampalys Mendy.
Mchezaji huyo zamani akiichezea klabu ya Nice ametia sahihi mkataba wa miaka minne kufanya shughuli nchini Uingereza.
Category: USAJIRI | Views: 288 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-03 | Comments (0)

1-10 11-16