Home » 2016 » July » 17



Kocha mkuu wa klabu ya Chelsea Antonio Conte amethibitisha kuwa mchezaji wa klabu hiyo Juan Cuadrado ambaye alikuwa kwa mkopo kuitumikia klabu ya Juventus atarejea klabuni hapo. 
Category: MICHEZO | Views: 281 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-17 | Comments (0)




Kocha mkuu wa klabu ya Chelsea Antonio Conte amemtaka mchezaji wake Eden Hazard kuhakikisha anajituma na kuongeza kiwango chake ili kufikia kwenye hatua waliyopo wachezaji kama Lionel messi.
Category: MICHEZO | Views: 321 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-17 | Comments (0)



Marekani imeitaka Uturuki kujizuia baada ya jaribio la mapinduzi lililozimwa siku ya Ijumaa ambapo maelfu ya maafisa wa kijeshi wamekamatwa.
Category: HABARI | Views: 305 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-17 | Comments (0)




Klabu ya Manchester City iko mbioni kutaka kuhakikisha inakamilisha usajili wa klabu ya Everton Stones ili kuweza kuimarisha safu yake ya ulinzi. 
Category: USAJIRI | Views: 297 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-17 | Comments (0)


Kocha mpya wa klabj ya Manchester united Jose Mourinho amemwahidi mchezaji wake mpya ambaye pia ni beki wa kati Eric Bailly kuwa atamsaidia kumfanya kuwa miongoni mwa mabeki bora. 
 
Category: MICHEZO | Views: 333 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-17 | Comments (0)



Kocha mpya wa klabu ya soka ya Manchester city Pep Guardiola ameanza kazi kwa kishindo klabuni hapo huku akianzisha pia kanuni mpya dhidi ya wachezaji wa klabu hiyo ambazo zinaonekana kuwa chungu kwa wachezaji hao. 
Category: MICHEZO | Views: 275 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-17 | Comments (0)




Maelfu ya raia wa nchi ya Venezuela wamevuka mpaka na kuingia maeneo ya karibu ya nchi ya Colombia kwaajili ya kununua vyakula na madawa baada ya mpaka baina ya nchi hiyo kufunguliwa kufuatiwa kuwa umefungwa kwa karibu mwaka mzima. 
Category: HABARI | Views: 291 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-17 | Comments (0)


Waziri Mkuu wa Uturuki, Binali Yildirim, ameelezea jaribio la mapinduzi la jana usiku, kuwa doa jeusi katika demokrasi ya Uturuki.
Na kaimu mkuu wa jeshi la Uturuki, ametangaza kwenye televisheni, kwamba jaribio la mapinduzi limeshindwa. Jenerali Umit Dundar alisema, wapanga njama 104 wameuwawa.
 
Category: HABARI | Views: 296 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-17 | Comments (0)