Home » 2016 » July » 17 » Alichomuahidi Mourinho beki wake mpya Eric Bailly hiki hapa
8:59 AM
Alichomuahidi Mourinho beki wake mpya Eric Bailly hiki hapa



Kocha mpya wa klabj ya Manchester united Jose Mourinho amemwahidi mchezaji wake mpya ambaye pia ni beki wa kati Eric Bailly kuwa atamsaidia kumfanya kuwa miongoni mwa mabeki bora. 
Hayo yanafuatia kiwango alichokionyesha mchezaji huyo kwenye mechi yake ya kwanza akiwa na klabu hiyo mpya dhidi ya klabu ya Wigani ambayo iliisha kwa timu ya Manchester uited kuifunga Wigan magoli 2-1.
  Ikumbukwe kuwa kocha Mourinho ndiye aliyemsaidia beki wa Uingereza John Terry na kumfanya kuwa miongoni msa mabeki bora walipokuwa wote kwenye klabu ya Chelsea. 
Category: MICHEZO | Views: 334 | Added by: nurdidy | Rating: 0.0/0
Total comments: 0
avatar