Uchunguzi uliofanywa na shirika moja linalojulikana kwa jina la Trades Union Congress TUC kwa kifupi unaonesha kuwa, nusu ya wanawake nchini Uingereza wamekuwa wakinyanyaswa kingono katika maeneo yao ya kazi.
Category: HABARI |
Views: 294 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-10
|
|
Licha ya maandamano na malalamiko ya siku kadhaa yanayoshuhudiwa katika miji mbalimbali ya Zimbabwe, Rais Robert Mugabe wa nchi hiyo amesisitiza kuwa, ana mpango wa kugombea tena kiti hicho katika uchaguzi ujao.
Category: HABARI |
Views: 291 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-10
|
|
Nchini Jamhuri ya Afrika (CAR), Jean-Francis Bozizé, mtoto wa Rais wa zamani wa Afrika ya Kati François Bozizé aliyekamatwa Ijumaa Agosti 5 mjini Bangui ameachiwa huru kwa muda kutolewa chini ya udhibiti wa mahakama
Category: HABARI |
Views: 303 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-10
|
|
pinzani nchini Kenya, unaishtumu serikali kuwa na mpango wa kurejesha nchi hiyo kwenye enzi za chama kimoja cha KANU.
iongozi wa chama cha ODM na aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, amesema hatua ya vyama vya siasa vinavyoiunga mkono serikali ya rais Uhuru Kenyatta kuamua kuungana na kuunda chama kimoja ni kuua demokrasia ya vyama vingi nchini humo.
Category: HABARI |
Views: 257 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-10
|
|
Raia wa Zambia wanapiga kura kesho, kumchagua rais na wabunge kuongoza nchi hiyo kwa muda wa miaka mitano ijayo.
Wagombea tisa wanawania urais lakini ushindani mkali unatarajiwa kuwa kati ya rais Edgar Lungu na mpinzani wake Hakainde Hichilema.
Category: HABARI |
Views: 319 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-10
|
|
Klabu ya soka ya Manchester united iko mbioni kuhakikisha inamtoa kwa mkopo mchezaji wake kinda Adnan Januzaj kwenda klabu ya Sunderland ambayo pia inashiriki ligi kuu nchini humo.
Category: MICHEZO |
Views: 338 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-10
|
|
labu ya soka ya Leicester city ambao ndiyo pia mabingwa wa ligi kuu ya Uingereza wako mbioni kumsajili mchezaji toka klabu ya Santos Gabriel Barbosa ambye pia ni raia wa Brazil.
Category: MICHEZO |
Views: 395 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-10
|
|
 RAIS John Magufuli anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani humu leo, ambapo atakagua miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi juu ya mambo mbalimbali yanayohusu serikali.
Category: HABARI |
Views: 382 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-10
|
|
 MBUNGE wa Musoma Vijijini ambaye pia ni Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema sekondari zitakazofanya vizuri kwenye masomo ya sayansi jimboni humo, zitapatiwa zawadi ya basi dogo.
Category: HABARI |
Views: 309 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-10
|
|
labu ya Real Madrid ya nchini HHispania imefanikiwa kuifunga klabu ya Sevilla magoli 3-2 kwenye mchezo wa sper League katika muda wa nyongeza baada ya timu hizo kumaliza dakika 90 wakiwa 2-2.
Category: MICHEZO |
Views: 372 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-10
|
|
Pogba anakuwa mchezaji mwingine ghali zaidi kuwahi kusajiliwa, baada ya usajili wa Chrostian Ronaldo, aliyesajiliwa kutoka klabu ya Manchester United kwenda Real Madrid ya Uhispania kwa dau la pauni milioni 85, huku Gareth Bale akisajiliwa kutoka Tottenham kwenda Real Madrid kwa dau la pauni milioni 94.
Category: MICHEZO |
Views: 307 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-10
|
|
 Hatimaye klabu ya Manchester City imefanikiwa kumsajili beki wa kati kutoka klabu ya Everton, John Stone, kwa dau la pauni za Uingereza milioni 47.5, dau ambalo linamfanya kuwa beki wa pili ghali zaidi duniani baada ya aliyekuwa beki wa kati wa Manchester United, Rio Ferdinand.
Category: HABARI |
Views: 366 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-10
|
|
Baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliyopelekea kushindwa kwa sehemu kubwa kwa chama cha ANC, na vyama vya siasa vimeanzisha mazungumzo ili kujaribu kupata mikataba na kuunda muungano katika miji kadhaa mikubwa katika yenye wafuasi wengi wa vyama vinavyounga mkono chama tawala.
Category: HABARI |
Views: 261 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-10
|
|

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na Naibu wake Willima Ruto wametangaza rasmi kuwa chama kipya cha siasa cha Jubilee, kinacholeta pamoja vyama vinavyoiunga mkono serikali, kitazinduliwa rasmi mwezi ujao.
Category: HABARI |
Views: 311 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-10
|
|
atika hali ambayo Russia inaituhumu Washington kwa kulifanya la kisiasa suala la utoaji misaada ya kibinadamu kwa raia wa Syria, bi Samantha Power Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa ameiomba Moscow kutumia ushawishi wake ili kuvunja mzingiro katika mji wa Aleppo huko Syria.
Category: HABARI |
Views: 275 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-10
|
|
Kwa mara nyingine tena ndege za kijeshi za Saudi Arabia zimeshambulia maeneo ya makazi ya watu na kuua makumi ya raia wasio na hatia katika mikoa kadhaa ya Yemen hii leo.
Category: HABARI |
Views: 305 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-10
|
|
Wanajeshi waliostaafu katika jimbo la Texas nchini Marekani wametishia kuwakata vichwa kwa mapanga Waislamu watakaoenda kutekeleza ibada ya swala katika msikiti mmoja jimboni hapo.
Category: HABARI |
Views: 306 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-10
|
|
 Klabu ya Soka ya Olympiakos imemfuta kazi aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Victor Sanchez baada ya klabu hiyo kubanduliwa katika michuano ya kufuzu ya makundi kwenye kklabu bingwa Ulaya ikiwa ni kipindi kisichozidi miezi miwili tangu achukue timu hiyo kama kocha.
Category: MICHEZO |
Views: 298 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-10
|
|
|