Home » 2016 » August » 10 » Leicester city iko mbjoni kumsajili mchezaji huyu kutoka Santos
1:42 AM
Leicester city iko mbjoni kumsajili mchezaji huyu kutoka Santos



Klabu ya soka ya Leicester city ambao ndiyo pia mabingwa wa ligi kuu ya Uingereza wako mbioni kumsajili mchezaji toka klabu ya Santos Gabriel Barbosa ambye pia ni raia wa Brazil. 
  Leicester city wametpa ofa ya kiasi cha pesa cha £23m.
 Mchezaji huyo ambaye anacheza nafasi ya ushambuliaji pia alikuwa anawaniwa na klabu ya Barcelona ya Hispania
Category: MICHEZO | Views: 395 | Added by: nurdidy | Rating: 0.0/0
Total comments: 0
avatar