Home » HABARI
« 1 2 3 4 ... 32 33 »


 
Category: HABARI | Views: 340 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-25 | Comments (0)



Wanachuo Waislamu wa Chuo Kikuu cha jimbo la Wisconsin nchini Marekani wameanzisha kampeni ya kugawa chakula kwa watu wasio na makazi wa mji wa Madison ili kuwapa fursa ya kuujua Uislamu na kuuliza maswali kuhusiana na dini hiyo ya Mwenyezi Mungu.
Category: HABARI | Views: 347 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-25 | Comments (0)



Baadhi ya waandamanaji walijibu hujuma hizo za polisi kwa kuwarushia mitungi ya mabomu ya machozi na mawe polisi hao ambao waliwafukuza kwa mipira ya maji hadi nje ya ofisi kuu za chama cha MDC.
Category: HABARI | Views: 381 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-25 | Comments (0)



Mashambulio ya anga yaliyofanywa na kile kinachoitwa Muungano wa kupambana na Daesh unaoongozwa na Marekani yameua zaidi ya watu 6,000 nchini Syria tangu muungano huo ulipoanzisha operesheni zake hizo mwishoni mwa mwaka 2014.
Category: HABARI | Views: 339 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-25 | Comments (0)




Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi ya Agosti 25
 
Category: HABARI | Views: 367 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-25 | Comments (0)



Leo(Jana)  nimewatembelea ndugu zangu wa Kilolo - Iringa kuwashukuru na kuwaeleza kuwa tulishinda na ndio maana hawa mabwana wakubwa wanapata tabu sana Na Sisi.
Category: HABARI | Views: 358 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-25 | Comments (0)



Jeshi la Polisi jana lilipiga hatua nyingine katika kukabiliana na kile linachoeleza kuwa ni kuchochea wananchi kufanya vurugu, baada ya kupiga marufuku mikutano ya ndani ya vyama vya siasa.
Category: HABARI | Views: 318 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-25 | Comments (0)



Ilikuwa kama mtu anaangalia sinema.  Watu tisa waliokuwa kwenye pikipiki tatu walijitokeza ghafla katika Benki ya CRDB tawi la Mbande, wilayani Temeke jijini Dar es Salaam na kulimiminia risasi gari la polisi lililokuwa ndiyo kwanza linawasili katika eneo hilo kuleta askari kwa ajili ya lindo la usiku. Askari watatu walikufa palepale na mmoja alifia njiani wakati akipelekwa hospitali.
Category: HABARI | Views: 353 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-25 | Comments (0)



Tetemeko la ardhi lenye nguvu ya 6.2 katika vipimo vya Richter limetikisa eneo la Umbria katikati mwa Italia na kufukua watu chini ya vifusi, maafisa wa Italia wamesema.
Category: HABARI | Views: 328 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-24 | Comments (0)



MKE wa bilionea Erasto Msuya, Miriam Elisaria Msuya (41) amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya dada wa wa bilionea huyo, Aneth Msuya.
Category: HABARI | Views: 342 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-24 | Comments (0)