Home » 2016 » July » 08 » LA imemsajili Luol Deng kwa thamani ya $72m
10:06 AM
LA imemsajili Luol Deng kwa thamani ya $72m



Luol Deng amejiunga na timu ya mpira wa kikapu ya Marekani Los Angeles Lakers kwa thamani ya $72 milioni. Mchezaji huyo ambaye ni mzaliwa wa Sudani pia amewahi kuiwakilisha Uingereza katika michuano ya Olympics iliyofanyika jijini London mwaka 2012.
Category: USAJIRI | Views: 360 | Added by: nurdidy | Rating: 0.0/0
Total comments: 0
avatar