Home » MICHEZO
« 1 2 3 4 ... 8 9 »
Baada ya mtandao wa shirikisho la soka barani ulaya kuonyesha kikosi cha klabu ya Manchester city na ndani yake kumjumuisha beki wa klabu ya Everton Jon Stones, UEFA wamelizungumzia hili kwa kujibu kuwa jana usiku ndiyo ilikuwa siku ya mwisho kwa vilabu kuwasilisha majina ya vikosi vyao na hivyo hicho ndiyo kikosi walichokipokea toka klabu ya Manchester city. 
Category: MICHEZO | Views: 251 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-09 | Comments (0)



Huku mashabiki wengi wa soka duniani wakiendelea kusubiri hatma ya beki wa klabu ya Everton Jon Stones kuhusu kujiunga na klabu ya Manchester city inayomtafuta kwa udi na uvumba jambo jipya limezuka leo kuhusu mchezaji huyo. 
   
Category: MICHEZO | Views: 326 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-09 | Comments (0)



Manchester united imekamilisha uhamisho wa aliyekua kiungo wa timu Juventus ya Italia Paul Pogba uhamisho ambao umevjnja rekodi ya dunia. Yafuatayo ni baadhi ya mambo muhimu ambayo huenda huyajui kuhusu mchezaji huyu 
Category: MICHEZO | Views: 467 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-09 | Comments (0)



Kutoka nchini Hispania kwenye klabu ya Real Madrid imeripotiwa kuwa kocha wa klabu hiyo Zinedine Zidane na raisi wa klabu hiyo Florentino Perez wapo kwenye malumbano makubwa ya kiungo gani anatakiwa kusajiliwa na klabu hiyo. 
Category: MICHEZO | Views: 314 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-07 | Comments (0)



Mchezaji wa klabu ya Juventus na timu ya taifa Ufaransa Paul Pogba huenda akafanyiwa vipimo vya afya leo kwenye klabu ya Manchester united ili kukamilisha uhamisho wake. 
Category: MICHEZO | Views: 372 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-07 | Comments (0)


Klabu ya Manchester City ya nchini Uingereza imetangaza kumsaijili mchezaji kutoka nchini Colombia Marlos Moreno kwa mkataba wa miaka mitano
Category: MICHEZO | Views: 250 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-06 | Comments (0)




Kocha mkuu wa klabu ya Manchester united Kose Mourinho amethibitisha kutomhitaji kiungo wa Ujerumani Bastian Shweinsteiger klabuni hapo na kuwa atafute klabu ya kwenda. 
Category: MICHEZO | Views: 290 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-05 | Comments (0)



Klabu ya soka ya Real Madtid ya nchini Hispania imefikia makubaliano ya kumwongeza mkataba mchezaji wake mahiri na ambaye pia ni nahodha wa timu ya kananda ya taifa la Ureno Christian Ronaldo. 
Category: MICHEZO | Views: 353 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-04 | Comments (0)




Mchezaji mpya wa klabu ya Chelsea N'golo Kante amepinga wanaomwita au kumfananisha mchezaji huyo na gwiji wa zamani wa soka wa timu ya taifa ya Ufaransa na klabu za Real Madrid na Chelsea Claude Makelele. 
Category: MICHEZO | Views: 403 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-04 | Comments (0)


Kocha wa Arsenal Arsene Wenger yupo kwenye harakati za kuhakikisha anampata mshambuliaji bora wa katikati ili kuweza kujiimarisha zaidi kiushindani katika ligi kuu ya Uingereza itakayoanza mwezi huu. 
Katika jitihada zake hizo kocha huyo anategemea kumtumia mchezaji wake tegemeo ambaye pia ni raia wa Chile Alexis Sanchez katika nafasi hiyo ya mshambuliaji wa kati. 
 
Category: MICHEZO | Views: 309 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-04 | Comments (0)