Home » 2016 » August » 04 » Taarifa kubwa kutoka Real Madrid leo.
5:22 PM
Taarifa kubwa kutoka Real Madrid leo.



Klabu ya soka ya Real Madtid ya nchini Hispania imefikia makubaliano ya kumwongeza mkataba mchezaji wake mahiri na ambaye pia ni nahodha wa timu ya kananda ya taifa la Ureno Christian Ronaldo. 
  Katika taarifa hiyo inasemekana makubaliano baina ya pande hizo mbili yamefikiwa na kwamba mktaba huo utadumu hadi mwaka 2020 au 2021.Taarifa kutoka klabuni hapo zinasema kuwa klabu hiyo pia inategemea kukutana na wakala wa mchezaji Gareth Bale  ajulikanaye kwajina la Jonathan Barnett kwaajili pia ya kuangalia uwezekano wa kumwongeza mkataba mchezaji huyo. CHANZO THE SUN

 
Category: MICHEZO | Views: 354 | Added by: nurdidy | Rating: 0.0/0
Total comments: 0
avatar