Home » 2016 August 17 » Mtifuano UVCCM
8:56 AM Mtifuano UVCCM |
Follow @NNurfire ![]() Viongozi wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wameanza kukabana koo kuhusiana na mali za jumuiya hiyo. Kada wa CCM na mwanachama wa UVCCM, James Mwakibinga maarufu ‘Sauti Toka Nyikani’, ameeleza kuwa licha ya kuchukuliwa hatua na kuwawajibisha baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Iringa, kuna maeneo hayajaguswa. Ameyataja maeneo hayo ni pamoja na sakata la uuzwaji kinyemela wa viwanja 200 vya Temeke akimtuhumu mmoja wa vigogo wa juu katika Baraza la Wadhamini UVCCM CHANZO:MWANANCHI ONLINE |
|
|
| Total comments: 0 | |
