Home » 2016 June 27 » Rais Zuma aamrishwa kurejesha pesa za Umma
10:38 PM Rais Zuma aamrishwa kurejesha pesa za Umma |
Follow @NNurfire ![]() Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma ameambiwa kuwa ni lazima alipe zaid ya dola nusu milioni pesa za umma, ambazo alitumia kukarabati nyumba yake. Mahakama ya juu zaidi nchini Afrika Kusini imetaka wizara ya fedha, kutambua ikiwa ni kiaisi gasi Rais Zuma anasathili kurejesha kufutia uamuzi wa mapema mwaka huu kuwa alikuwa amekiuka katiba |
|
|
| Total comments: 0 | |
