Home » 2016 June 15 » Sukari ya Malawi kusambazwa mkoani Mbeya.
4:15 PM Sukari ya Malawi kusambazwa mkoani Mbeya. |
Follow @NNurfire ![]() ![]() Zaidi ya tani 1,150 za sukari zinatarajia kuingia mkoani Mbeya kuanzia leo kutoka nchini Malawi kwa lengo la kupunguza uhaba wa bidhaa hiyo. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla alipokuwa akizungumza na wafanyabiashara wa mkoani hapa katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya Vijijini, kwa lengo la kusikiliza kero zao.Zaidi ya tani 1,150 za sukari zinatarajia kuingia mkoani Mbeya kuanzia leo kutoka nchini Malawi kwa lengo la kupunguza uhaba wa bidhaa hiyo. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla alipokuwa akizungumza na wafanyabiashara wa mkoani hapa katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya Vijijini, kwa lengo la kusikiliza kero zao. Amesema tayari kuna magari 30 yapo njiani yanatokea nchini Malawi ambayo kila moja lina tani 34 za sukari na muda wowote yataingia mkoani hap |
|
|
| Total comments: 0 | |
