Home » HABARI
« 1 2 ... 14 15 16 17 18 ... 32 33 »


 Dereva tax mmoja nchini Marekani katika mji wa Boston ajulikanaye kwa jina la Raymond MacCausland mwenye umri wa miaka 72 amekutana na bahati ambayo wengi wangeifurahia baada ya kukuta kiasi cha fedha zenye thamani ya dola 187,000 nyuma ya siti ya gari yake.
Category: HABARI | Views: 335 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-06 | Comments (0)



Hillary Clintoni ambaye pia ni mgombea uraisi kupitia chama cha Democratic nchini Marekani ametangazwa kuwa hana hatia na shirika la ujasusi la nchini humo FBI kufuatia tuhuma zilizokuwa zimemkabili za kutumia akaunti yake binafsi ya Email kufanya mawasiliano yanayohusu shughuli za serikali za nchi hiyo,
Category: HABARI | Views: 279 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-05 | Comments (0)


Raisi na aliyekuwa mmiliki wa klabu ya soka ya ncini Italia klabu ya AC Milan Silvio Berlusconi ameweka wazi kuwa ameshaiuza klabu hiyo na anaamini ameiuza klabu hiyo kwa watu wenye nguvu na hivyo itarejea kwenye makali yake.
Category: HABARI | Views: 332 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-05 | Comments (0)


Familia ya Nelsoni Mandela nchini Afrika kusini imechukizwa na kitendo cha chama cha upinzani nchini humo kurumia sauti ya baba yao katika shughuli za uchaguzi nchini humo.Sauti ya shujaa huyo imesikika ikihimiza utawala wa haki na sheria na huku ikisema watu wakipigie kura chama cha Democratic Alliance.
Category: HABARI | Views: 295 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-05 | Comments (0)



Abiria mmoja raia wa Urusi amesababisha abiria zaidi ya 500 kuchelewa kuruka na ndege kwa masaa 7 akilazimisha apewe talaka ndiyo aweze kuondoka kwenye ndege hiyo.
Category: HABARI | Views: 303 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-05 | Comments (0)



Wajumbe wengi wa baraza la seneti walikuwa wakitumia simu aina ya blackberry kwaajili ya mawasiliano na hasa kupokea na kutua emails.Blackberry ndiyo zilionekana kuwa simu rahisi zaidi kufanya mawasiliano hayo kutokana na na mpangilio wa batani zake za kutumia meseji.
Category: HABARI | Views: 281 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-05 | Comments (0)


Mabingwa wa ligi nchini Uingereza Leicester wameingia katika mkataba na klabu ya CSKA Moscow kumsajili mshambuliaji wa Nigeria Ahmed Musa,kulingana na ajenti wa mchezaji huyo.
Category: HABARI | Views: 301 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-05 | Comments (0)

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilindi Beatrice Shellukindo (CCM) ameaga dunia jana Jijini Arusha.
Akithibitisha kifo hicho Katibu wa CCM Wilaya ya Kilindi Mkoani Tanga, Hawa Nanganyau alisema marehemu  ameugua tangu  mwaka 2014 akisumbuliwa na tatizo la mgongo pamoja na miguu.
Category: HABARI | Views: 388 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-03 | Comments (0)


Zaidi ya watu 79 wamefariki katika mashambulizi mawili ya bomu yaliyokumba mji mkuu wa Iraq Baghdad.
Watu wengine 130 wamejeruhiwa vibaya katika mashambulizi hayo yaliyodaiwa kutekelezwa na kundi la wanamgambo wa kiislamu la Islamic State.

 

Category: HABARI | Views: 344 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-03 | Comments (0)

Category: HABARI | Views: 348 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-02 | Comments (0)