UFARANSA imesema itaongeza mchango wake katika kuendeleza sekta mbalimbali nchini kutoka wastani wa Euro milioni 50 kila mwaka, ambazo huzitoa kupitia shirika lake la maendeleo la AFD.
Category: HABARI |
Views: 283 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-05
|
|
Kundi la kigaidi la Nigeria la Boko Haram lenye mafungamano na kundi la wanamgambo wa kundi la kigaidi la wa Dola la Kiislamu au Daesh lina kiongozi mpya ambaye ametishia kuyashambulia kwa mabomu makanisa na kuwaua wakristo.
Category: HABARI |
Views: 293 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-05
|
|
Shirika la habari la ABNA linaripoti kuwa: Chama cha upinzani nchini Afrika kusini cha Democratic Alliance kinaongoza katika miji mitatu mikubwa wakati kura zikiendelea kuhesabiwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa na kutoa pigo kubwa kwa chama tawala cha African National Congress ANC tangu kumalizika utawala wa kibaguzi miongo miwili iliyopita.
Category: HABARI |
Views: 267 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-05
|
|
WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini, wamewaomba maaskofu na mashehe kusaidia kumshauri Rais John Magufuli akubali kuruhusu vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara.
Category: HABARI |
Views: 268 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-05
|
|
WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema itafuatilia malalamiko kuhusu kitendo cha kufungwa wakati wa usiku kwa baadhi ya vituo vikubwa vya Polisi jijini Dar es Salaam, hatua inayosababisha usumbufu mkubwa kwa wananchi.
Category: HABARI |
Views: 248 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-05
|
|
MAMLAKA ya Viwanja vya Ndege nchini (TAA) imeainisha mikakati yake ya kufanya maboresho katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kwa kuboresha jengo la abiria (terminal II), ambayo yataenda sambamba na ujenzi wa terminal III.
Category: HABARI |
Views: 341 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-05
|
|
Mashabiki wa soka nchini wamepata ahueni ya kutazama Ligi Kuu ya England kupitia kituo cha runinga cha TV1.
Meneja Mkuu wa TV1, Joseph Sayi amesema kituo chao kimepata ruhusa kutoka kampuni ya Econet Media yenye haki za kuonyesha ligi hiyo kusini mwa Jangwa la Sahara.
Category: HABARI |
Views: 325 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-04
|
|
BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limetoa notisi ya kuvishushia hadhi vyuo 175, kufuta rasmi vyuo vitano na 41 vimepewa muda wa wiki mbili viwe vimejisajili upya. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Baraza hilo, Steven Mlote alisema vyuo hivyo vitano vimefungiwa kuendesha mafunzo na kufutwa kwenye rejista ya vyuo vya ufundi nchini.
Category: HABARI |
Views: 330 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-04
|
|
MLINZI wa Shule ya Msingi Medeli iliyopo katika Manispaa ya Dodoma, Zebedayo Bendera, amewafungia ofisini baadhi ya walimu wa shule hiyo baada ya kushindwa kumlipa mshahara wake.
Wakati Bendera anafunga ofisi hiyo jana asubuhi, ofisini walikuwamo walimu kadhaa pamoja na Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Rehema William.
Category: HABARI |
Views: 279 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-04
|
|
MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), amekamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida, baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa hadhara jimboni kwake.
Category: HABARI |
Views: 298 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-04
|
|
|