 Baraza linapenda kutoa taarifa kuwa Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) umefunguliwa tena kuanzia tarehe 22 Julai 2016 ili kujaza nafasi za udahili zilizo wazi baada ya Baraza kuchagua waombaji udahili waliowasilisha maombi yao kuanzia tarehe 4 Machi 2016 hadi tarehe 3 Juni 2016. Mwisho wa kuwasilisha maombi ni tarehe 5 Agosti 2016 saa sita usiku.
Category: HABARI |
Views: 369 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-07-23
|
|
Tsvangiraii ambaye alikuwa mkuu wa chama cha upinzani cha Movemenf for Democratic Change (MDC) wakati wa utawala wa serikali ya mseto kuanzia mwaka 2013 hadi 2009, hajahusika katika kuandaa migomo na maandamano ya hivi karibuni nchini Zimbabwe. Pamoja na hayo yote, weledi wa mambo waanamini kuwa, Tsvangirai anatumai kwamba atanufaika na harakati za mwamko za wananchi wa Zimbabwe na maandamano na migomo inayofanyika dhidi ya serikali ya Rais Robert Mugabe.
Category: HABARI |
Views: 315 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-07-18
|
|
Mfalme huyo amewatumia ujumbe viongozi wa Kiafrika wanaoshiriki mkutano wa Umoja wa Afrika ulioanza rasmi jana huko Kigali, mji mkuu wa Rwanda na kusema wakati umefika kwa nchi hiyo ya Kiarabu
Category: HABARI |
Views: 385 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-07-18
|
|
Mshauri mkuu wa rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amekanusha taarifa kuwa utawala huo umeanza njama za kumtafuta kwa ubaya kiongozi wa upinzani Moise Katumbi Chapwe ambae ni mfanya biashara wa kimataifa aliyenuia kugombea urais kwenye uchaguzi ambao bado haujaamuliwa kama utafanyika.
Category: HABARI |
Views: 319 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-07-18
|
|
Category: HABARI |
Views: 557 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-07-18
|
|
Hivi Karibuni, utakuwa huhitajiki kusafiri katika nchi za kiafrika kwa hati nyingine kwa kuwa wewe ni mwafrika !
sababu kubwa hasa Bara la Afrika limezindua rasmi cheti chake cha kusafiria!
Category: HABARI |
Views: 331 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-07-18
|
|
Ligi kuu ya Hispania inatarajiwa kuanza Agosti 21 kwa Mabingwa Watetezi FC Barcelona kucheza na Real Betis na Mabingwa wa Ulaya Real Madrid kuanza na Real Sociedad, Vigogo hao Wiki ijayo wanatarajiwa kurejea Mazoezini kujitayarisha na Msimu mpya.
Category: HABARI |
Views: 306 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-07-18
|
|
Mkutano wa 27 wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika (AU) unafunguliwa mjini Kigali, ambako mapigano ya hivi karibuni Sudan Kusini na mrithi Rais wa Tume ya AU vitatawala mkutano huu.© AFP/CYRIL NDEGEYAMjini Kigali nchini Rwanda, sherehe ya ufunguzi wa mkutano wa Umoja wa Afrika (AU) imefanyika Jumapili hii Julai 17. Wakuu wa nchi za Afrika wamekutana awali katika faragha kujadili mgogoro wa Sudan Kusini, lakini pia mrithi wa Nkosazana Dlamini-Zuma katika nafasi ya Mwenyekiti wa Tume ya AU na uwezekano wa Morocco kurejea kuwa mwanachama wa Umoja huo.
Category: HABARI |
Views: 279 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-07-18
|
|
Maafisa watatu wa polisi waliuawa na wengine kujeruhiwa siku ya Jumapili baada ya mtu aliyekuwa na bunduki kuwashambulia katika mji wa Baton Rouge, Luisiana, nchini Marekani.
Category: HABARI |
Views: 359 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-07-18
|
|
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amepiga marufuku matumizi ya viberiti, mishumaa na hita za kuchemshia maji kwa wanafunzi wa bweni ili kuepusha majanga ya moto na atakayekutwa, atachukuliwa hatua kali.
Category: HABARI |
Views: 296 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-07-18
|
|
|