Home » HABARI
« 1 2 ... 10 11 12 13 14 ... 32 33 »


BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limevifutia usajili vyuo vitano kuendesha mafunzo, huku vingine 41 vikigundulika kuendesha mafunzo bila kusajiliwa.

Tamko hilo lilitolewa Dar es Salaam jana na   Mwenyekiti wa NACTE,   Steven Mlote, alipozungumza na waandishi wa habari.
Category: HABARI | Views: 391 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-04 | Comments (0)



Bila kuwataja kwa majina wala siri walizotoa, Jaji Kaganda alisema: “Tusiweke maslahi binafsi mbele kwa kutoa siri za mikataba kwa kuangalia manufaa binafsi, jambo ambalo limelifikisha taifa pabaya. Viongozi wastaafu wafunge midomo yao kwani bado wako ndani ya kiapo hata kama wamestaafu.”
Category: HABARI | Views: 303 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-04 | Comments (0)



Baada ya kupata kibali cha polisi, Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa amefanya mkutano wa hadhara akisema hakuna wa kumpangia cha kuzungumza kwenye mikutano yake.
Category: HABARI | Views: 322 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-04 | Comments (0)


Wakazi wa Tanga wamelisaidia Jeshi la Polisi kuwakimbiza na kuwaua majambazi wawili kati ya wanne waliokuwa wakitumia gari aina ya Toyota Probox  baada ya kukurupushwa katika jaribio la kuiba vitu katika magari yaliyoegeshwa ofisi za halmashauri.
Category: HABARI | Views: 284 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-04 | Comments (0)

Mkurugenzi mpya wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, Emalieza Chilemeji hajaripoti kwenye kituo chake cha kazi.

Chilemeji ni miongoni mwa wakurugenzi 120 wapya walioteuliwa na Rais John Magufuli Julai 7.
Category: HABARI | Views: 319 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-04 | Comments (0)



Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limemnyima kibali cha kutengeneza video vya wimbo mpya mwanamuziki, Snura Mushi kwa madai kuwa hajatimiza masharti aliyopewa baada ya kufungiwa miezi mitatu iliyopita

 
Category: HABARI | Views: 270 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-03 | Comments (0)



Ndege ya Shirika la  Emirati iliyokuwa ikijiandaa kutua katika Uwanja wa Kimataifa wa Dubai imewaka moto  na kusababisha taharuki kubwa kwa abiria waliokuwamo kwenye ndege hiyo.
Category: HABARI | Views: 274 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-03 | Comments (0)




Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir, amewafuta kazi Mawaziri wanne waliokuwa wanaendelea kumtii aliyekuwa Makamu wa kwanza wa rais Riek Machar.

Kiir ametangaza kuwa nafasi ya Mawaziri hao itachukuliwa na wale wanaomtii Makamu mpya wa rais Taban Deng Gai.
Category: HABARI | Views: 279 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-03 | Comments (0)



iongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amepata ajali ya kuanguka ghafla alipokuwa akitembea kuelekea kwenye jukwaa lililoandaliwa kwa ajili ya kuendesha ibada, Czestochowa nchini Poland.
Papa Francis mwenye umri wa miaka 79 alisaidiwa kwa haraka na wasaidizi wake na kufanikiwa kuamka na kuendelea na safari hadi kwenye kiti kilichoandaliwa.
Category: HABARI | Views: 282 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-29 | Comments (0)


na tarehe 27/7/2016 Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), walitoa kauli kwa Waandishi wa Habari kupitia Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa Ndugu Freeman Mbowe (Mb). Tamko hilo kama ilivyo kawaida ya CHADEMA lilijaa uongo mwingi na ghiliba nyingi za kibabaishaji na kuthibitisha ukweli kuwa kwa hakika kutokana na kasi ya Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Dr. John Pombe Magufuli wapinzani nchi hii wamekosa ajenda na hivyo njia peke yake 
Category: HABARI | Views: 304 | Added by: nurdidy | Date: 2016-07-29 | Comments (0)