WAKATI serikali ikianza taratibu za kuhamia Dodoma, Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) imemuomba Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa kushirikiana na msimamizi wa mali za serikali kufanya uchunguzi kuona namna Sh bilioni 12.5 zilivyotumika kwenye ujenzi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo ambayo bado inaendelea kujengwa.
Category: HABARI |
Views: 289 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-17
|
|
WAKAZI wa Mtaa wa Mwembeni, kata ya Manzese jijini Dar es Salaam wamelazimika kuzikusanya taka na kuzipeleka kwenye Ofisi ya Mwenyekiti wa mtaa huo kwa madai ya gari la taka kutopita kuzoa taka hizo kwa kipindi cha miezi mitatu.
Category: HABARI |
Views: 331 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-17
|
|
HAKIMU Mkazi Mkuu, Respicius Mwijage, ameutaka upande wa Jamhuri, kuchunguza hati ya kifo cha Raia wa Angola, Jose Nimi aliyekuwa anakabiliwa na mashitaka ya kukusanya matokeo na kuyachapisha kupitia mitandao ya kijamii bila ya kuihusisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Category: HABARI |
Views: 316 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-17
|
|
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dk Stephen Kebwe, amewatahadharisha vijana wakiwemo wafanyabiashara wadogo kutokubali kushawishiwa na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa ili washiriki maandamano yaliyopangwa kufanyika Septemba Mosi, mwaka huu.
Category: HABARI |
Views: 323 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-17
|
|

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema itawachukulia hatua za kisheria watakaoshindwa kufanya uhakiki wa taarifa za usajili wa Namba ya Mlipa Kodi (TIN) ikiwa ni pamoja na kuzifuta namba hizo.
Category: HABARI |
Views: 320 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-17
|
|
Walioshuhudia wanasema wamesikia milio ya risasi katika mji muhimu wa Yei, kusini magharibi mwa Juba, kwenye barabara inayounganisha Juba na taifa jirani la Uganda.
Category: HABARI |
Views: 314 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-15
|
|
Shughuli ya kuhesabu kura katika uchaguzi ulio na ushindani mkali inaendelea nchini Zambia huku kukiwa na wasiwasi kuhusu kucheleweshwa kwa matokeo hayo.
Category: HABARI |
Views: 296 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-15
|
|
Jemima Jelagat Sumgong, raia wa Kenya, mwenye umri wa miaka 31, ameipatishia nchi yake ushindi wa kwanza katika mashindano ya wanawake ya marathon, ambaye amekimbia muda wa saa 2:24 na sekunde 04, Jumapili hii Agosti 14 katika mji wa Rio de Janeiro, nchini Brazil.
Category: HABARI |
Views: 307 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-15
|
|
B aada ya mauaji yaliyotokea Jumamosi Agosti 13, 2016, serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kupitia msemaji wake akiwa pia Waziri wa habari, Lambert Mende imetangaza maombolezo ya kitaifa ya siku tatu kuanzia Jumatatu hii, baada ya mauaji ya zaidi ya watu 30 wilayani Beni, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Category: HABARI |
Views: 387 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-15
|
|
Shirika lisilo la kiserikali la Madaktari wasio na mipaka (MSF) limebaini Jumapili hii, Agosti 14, 2016 kwamba watoto wasiopungua kumi wa shule moja kijijini Haydan, nchini Yemen waliuawa Jumamosi hii katika mashambulizi ya anga ya muungano wa Kiarabu unaoongozwa na Saudi Arabia.
Category: HABARI |
Views: 272 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-15
|
|
|