Kocha wa timu ya riadha ya Kenya inayoshiriki michuano ya Olimpiki mjini Rio de Janeiro amerudishwa nyumbani kwa kosa la udanganyifu.
Mkuu wa Timu ya Olimpiki ya kenya, Kip Keino amesema John Anzrah aliigiza kama miongoni wa wakimbiaji wa mita 800, na kutoa sampuli ya mkojo kwa niaba ya mkimbiaji Ferguson Rotich.
Category: HABARI |
Views: 289 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-12
|
|
Polisi nchini India wamewashtaki madaktari watano makosa yenye uhusiano na biashara ya pigo ya binadamu.Maafisa wa polisi wanasema madaktari hao walihuska katika kisa kimoja ambapo walihusika katika kutoa figo ya binadamu kinyume cha sheria katika Hospitali ya Hiranandani iliyopo magharibi mwa mji wa Mumbai.
Category: HABARI |
Views: 319 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-12
|
|
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetengua uamuzi wa kufutwa kwa shitaka la utakatishaji fedha linalomkabili aliyekuwa Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya na wenzake na kuamuru kesi hiyo iendelee katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Category: HABARI |
Views: 411 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-12
|
|
RAIS John Magufuli ameutaka uongozi wa Mkoa wa Mwanza, kuhakikisha kuwa watu waliopora mali za Chama cha Ushirika cha Nyanza (NCU), wanapatikana na kuzirudisha mali hizo mara moja, huku akiitaja Kampuni ya Simon Group yenye umiliki katika kampuni za UDA na mabasi ya haraka Dar es Salaam (UDA-RT).
Category: HABARI |
Views: 295 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-12
|
|
I meelezwa kuwa, idadi ya watu wasio na ajira nchini Saudi Arabia inazidi kuongezeka kila siku.
Ripoti zinaeleza kuwa, endapo mwenendo huo wa idadi ya watu wasio na ajira utaendelea, basi hadi kufikia mwaka 2030 Saudia itakuwa na watu milioni nne wasio na kazi.
Category: HABARI |
Views: 296 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-11
|
|
Uchunguzi uliofanywa na shirika moja linalojulikana kwa jina la Trades Union Congress TUC kwa kifupi unaonesha kuwa, nusu ya wanawake nchini Uingereza wamekuwa wakinyanyaswa kingono katika maeneo yao ya kazi.
Category: HABARI |
Views: 294 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-10
|
|
Licha ya maandamano na malalamiko ya siku kadhaa yanayoshuhudiwa katika miji mbalimbali ya Zimbabwe, Rais Robert Mugabe wa nchi hiyo amesisitiza kuwa, ana mpango wa kugombea tena kiti hicho katika uchaguzi ujao.
Category: HABARI |
Views: 291 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-10
|
|
Nchini Jamhuri ya Afrika (CAR), Jean-Francis Bozizé, mtoto wa Rais wa zamani wa Afrika ya Kati François Bozizé aliyekamatwa Ijumaa Agosti 5 mjini Bangui ameachiwa huru kwa muda kutolewa chini ya udhibiti wa mahakama
Category: HABARI |
Views: 303 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-10
|
|
pinzani nchini Kenya, unaishtumu serikali kuwa na mpango wa kurejesha nchi hiyo kwenye enzi za chama kimoja cha KANU.
iongozi wa chama cha ODM na aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, amesema hatua ya vyama vya siasa vinavyoiunga mkono serikali ya rais Uhuru Kenyatta kuamua kuungana na kuunda chama kimoja ni kuua demokrasia ya vyama vingi nchini humo.
Category: HABARI |
Views: 257 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-10
|
|
Raia wa Zambia wanapiga kura kesho, kumchagua rais na wabunge kuongoza nchi hiyo kwa muda wa miaka mitano ijayo.
Wagombea tisa wanawania urais lakini ushindani mkali unatarajiwa kuwa kati ya rais Edgar Lungu na mpinzani wake Hakainde Hichilema.
Category: HABARI |
Views: 319 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-10
|
|
|