Home » HABARI
« 1 2 ... 4 5 6 7 8 ... 32 33 »

Waasi wa ADF-Nalu wa Uganda wamefanya mashambulio katika mji wa Beni ulioko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kuua makumi ya watu.
Category: HABARI | Views: 419 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-15 | Comments (0)



Wanamgambo wa kitakfiri wa kundi la Boko Haram wametoa mkanda mpya wa video unawaonyesha baadhi ya wasichana waliotekwa nyara na kundi hilo katika mji wa Chibok Nigeria mwaka 2
Category: HABARI | Views: 265 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-15 | Comments (0)



Duru kutoka kwenye Serikali ya Kinshasa, zinasema kuwa mazungumzo ya viongozi hao wawili, yamejikita katika kuimarisha usalama wa eneo la mashariki mwa DRC ambako makundi ya waasi wa kihutu kutoka Rwanda wa FDLR yameshutumiwa kuuzorotesha usalama wa eneo hilo.
Category: HABARI | Views: 283 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-14 | Comments (0)



Matokeo ya uchaguzi yanaendelea kutolewa nchini Zambia ambapo Rais Edgar Lungu anaongoza akifuatiwa na mpinzani wake wa karibu Hakainde Hichilema.
Category: HABARI | Views: 402 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-14 | Comments (0)




SERIKALI imesema wanafunzi walio wengi kutoka shule nyingi za vijijini hukosa mwamko wa kusoma masomo ya sayansi haswa kutokana na kukosa vifaa vyenye kuwawezesha kuyafanya masomo hayo kwa vitendo ndiyo maana imetenga fedha kununua katika mwaka huu wa fedha 2016/17.
Category: HABARI | Views: 269 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-13 | Comments (0)



ATUMISHI watano wa Halmashauri ya Wilaya ya Nzega mkoani Tabora wamefukuzwa kazi na wengine wawili wameshushwa vyeo kwa tuhuma za kutafuna Sh milioni 190.
Category: HABARI | Views: 262 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-13 | Comments (0)



Mawarire amesema kuwa maandamano dhidi ya serikali ya chama tawala cha ZANU-PF huko Harare, mji mkuu wa Zimbabwe, ya kulalamikia siasa mbovu na uchumi yatashadidi zaidi nchini. Amefafanua kuwa, kwa mshikamano wa 
Category: HABARI | Views: 258 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-13 | Comments (0)



Maeneo matatu, eneo la mapumziko la Hua Hin, Phuket na Surat Thani, kusini mwa Thailand, yamekubwa na mfululizo mashambulizi ya mabomu usiku wa Alhamisi hadi Ijumaa hii asubuhi.
Category: HABARI | Views: 272 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-12 | Comments (0)



Wazambia walipiga kura Alhamisi hii Agosti 11 kwa kumchagua rais wao. Mpaka sasa hajajulikana mgombea anayeongoza kati ya wagombea tisa wanaowania kinyang'anyiro hiki cha urais.
Category: HABARI | Views: 279 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-12 | Comments (0)




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameviagiza vyombo vya dola kuchunguza na kuchukua hatua za kurejesha mali za Chama Kikuu cha Ushirika cha  Nyanza ambazo zilinunuliwa na kutwaliwa na watu binafsi kwa njia za ujanja ujanja.
 
Category: HABARI | Views: 291 | Added by: nurdidy | Date: 2016-08-12 | Comments (0)