 RAIS John Magufuli anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani humu leo, ambapo atakagua miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi juu ya mambo mbalimbali yanayohusu serikali.
Category: HABARI |
Views: 382 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-10
|
|
 MBUNGE wa Musoma Vijijini ambaye pia ni Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema sekondari zitakazofanya vizuri kwenye masomo ya sayansi jimboni humo, zitapatiwa zawadi ya basi dogo.
Category: HABARI |
Views: 309 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-10
|
|
 Hatimaye klabu ya Manchester City imefanikiwa kumsajili beki wa kati kutoka klabu ya Everton, John Stone, kwa dau la pauni za Uingereza milioni 47.5, dau ambalo linamfanya kuwa beki wa pili ghali zaidi duniani baada ya aliyekuwa beki wa kati wa Manchester United, Rio Ferdinand.
Category: HABARI |
Views: 366 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-10
|
|
Baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliyopelekea kushindwa kwa sehemu kubwa kwa chama cha ANC, na vyama vya siasa vimeanzisha mazungumzo ili kujaribu kupata mikataba na kuunda muungano katika miji kadhaa mikubwa katika yenye wafuasi wengi wa vyama vinavyounga mkono chama tawala.
Category: HABARI |
Views: 261 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-10
|
|

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na Naibu wake Willima Ruto wametangaza rasmi kuwa chama kipya cha siasa cha Jubilee, kinacholeta pamoja vyama vinavyoiunga mkono serikali, kitazinduliwa rasmi mwezi ujao.
Category: HABARI |
Views: 311 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-10
|
|
atika hali ambayo Russia inaituhumu Washington kwa kulifanya la kisiasa suala la utoaji misaada ya kibinadamu kwa raia wa Syria, bi Samantha Power Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa ameiomba Moscow kutumia ushawishi wake ili kuvunja mzingiro katika mji wa Aleppo huko Syria.
Category: HABARI |
Views: 275 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-10
|
|
Kwa mara nyingine tena ndege za kijeshi za Saudi Arabia zimeshambulia maeneo ya makazi ya watu na kuua makumi ya raia wasio na hatia katika mikoa kadhaa ya Yemen hii leo.
Category: HABARI |
Views: 305 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-10
|
|
Wanajeshi waliostaafu katika jimbo la Texas nchini Marekani wametishia kuwakata vichwa kwa mapanga Waislamu watakaoenda kutekeleza ibada ya swala katika msikiti mmoja jimboni hapo.
Category: HABARI |
Views: 306 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-10
|
|
 Rais wa zamani wa Nigeria, Goodluck Jonathan amesema kuwa kuna matumaini ya kufanyika uchaguzi wa rais nchini Zambia katika anga ya amani na amezitaka pande husika kuzingatia suala hilo.
Category: HABARI |
Views: 312 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-09
|
|
 Makumi ya maafisa usalama wa Marekani kutoka chama cha Republican wamemkosoa vikali mgombea urais wa chama hicho katika uchaguzi ujao, Donald Trump, wakisema hafai kuwa Rais wa Marekani.
Category: HABARI |
Views: 286 |
Added by: nurdidy |
Date: 2016-08-09
|
|
|